Deghe Mangae Senior Member Joined Mar 3, 2020 Posts 171 Reaction score 152 Mar 12, 2020 #1 Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza Hivyo naomba niwashukuru mno Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niwashukuru JF wote kwa kunikubali Kujiunga na jamii hii yenye uwelewa mpana najua wazi ni mengi nitajifunza Hivyo naomba niwashukuru mno Sent using Jamii Forums mobile app
God is Dead JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,311 Reaction score 1,533 Mar 12, 2020 #2 Rekebisha kichwa cha habari kabla hawajaja.
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,443 Reaction score 110,225 Mar 12, 2020 #3 Karibu sana mzee..Je unapigania tume huru ya uchaguzi au janja janja FC wazee wa bao la mkono. Karibu utufunze pia tusioyajua
Karibu sana mzee..Je unapigania tume huru ya uchaguzi au janja janja FC wazee wa bao la mkono. Karibu utufunze pia tusioyajua
God is Dead JF-Expert Member Joined Jan 11, 2019 Posts 1,311 Reaction score 1,533 Mar 12, 2020 #4 Kwani john snow na wewe unapigania tume huru?
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,766 Reaction score 9,933 Mar 12, 2020 #5 babu vua hiyo miwani upate kutambulika sura na scanner za JF na usipende kuazima mawani,kuna Corona ni hatari una vitukuu/vilembwe wangapi? Sent using Jamii Forums mobile app
babu vua hiyo miwani upate kutambulika sura na scanner za JF na usipende kuazima mawani,kuna Corona ni hatari una vitukuu/vilembwe wangapi? Sent using Jamii Forums mobile app
M MakaDik JF-Expert Member Joined May 31, 2019 Posts 240 Reaction score 138 Mar 13, 2020 #6 Asante Kushukuru! Tuliza Ball Angalia Mahali Pa Kuelekeza Pasi JF isonge mbele. kuwa mtulivu epuka kukurupuka. let's go
Asante Kushukuru! Tuliza Ball Angalia Mahali Pa Kuelekeza Pasi JF isonge mbele. kuwa mtulivu epuka kukurupuka. let's go
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,881 Reaction score 13,874 Mar 13, 2020 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,881 Reaction score 13,874 Mar 13, 2020 #8 Pooowa