K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,585 Reaction score 14,903 Jul 19, 2025 #1 Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora