Utam wa sherehe kupendeza

Utam wa sherehe kupendeza

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Hapa hata nisipoalikwa ntaenda tu nikalipe kiingilio
FB_IMG_1532151031482.jpg
 
Wadada wachokozi hawa jamani , sasa hao yote si makusudi tu jamaaa
 
Kulikuwa na haja ya huyo wa kulia kufungua paja lionekane?
Sasa mpasuo huo ni kwa ajili ya nini mkuu... Huyo ndo anafaa kuwa mwanamitindo anajua kujiachia sio kitu umevaa afu unafichaficha
 
wanafeligi kwenye makeup tu wadada sijui nani aliwaambiaga wakienda kwenye sherehe lazima wakandike ma make up yasioendana na uhalisiwa wa ngozi zao,kuanzia bi harusi mpaka wageni waalikwa mtu make up kama kavaa mask.
 
Huwa wanakuwa kama watu wakuchorwa.
 
wanafeligi kwenye makeup tu wadada sijui nani aliwaambiaga wakienda kwenye sherehe lazima wakandike ma make up yasioendana na uhalisiwa wa ngozi zao,kuanzia bi harusi mpaka wageni waalikwa mtu make up kama kavaa mask.
Hahaha ukitizama uson na miguun vitu viwili tofauti
 
mi nshasema kabisa siku nitakapooa sitaruhusu mke wangu afanyiwe huo umajununi kwanza nitao kifaa cha ukweli kwahyo hakitahitaji hyo make up nyingi sababu atakuwa tayari ni mzuri so make up watamweka kidogo tu yaku rashiarashia na isimbadilishe muonekano wake aliokuwa nao kabla ya make up.
 
Hahaha wee nikm mimi, napenda sana mwanamke awe moderate na smart basi.

Hawa wapaka makeup na mikucha na miwigi ili tu waufikie uzur , sijisikii kabisa kwanza nawaona wachafu tu.
 
Back
Top Bottom