Utalii

Utalii

Ni kama shibe haina bei! Mimi huwa napenda kutalii ndani ya Dar! Nikitaka kuona maisha halisi ya uswahili naenda buguruni kwa ndani maana ndo karibu kwangu. Nikitaka kuona vibosile wanaishije naenda Masaki/Oystabay! Nikitaka mbuga za wanyama kwangu ni mikumi nauli kwa basi 15,000/. Nikitaka kusafiri kwa meri napanda feri la kigamboni! Basi nakuwa nimeishakidhi vigezo vya msingi vya mtalii wa ndani nikiwa na kiasi kati ya 10,000/ hadi 100,000/
 
ok mipe bajet yako 2 mikumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom