The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Ingawa inafurahisha zaidi masikio ukisikia viongozi wanasema Tanzania ya viwanda inakuja
ukweli ni kuwa kuitoa nchi kama yetu kutoka hapa kuja kuwa ya viwanda ni kazi ngumu sana
sio kazi rahisi....hata kidogo....
Moja ya changamoto ya kuibadili hii nchi kuwa ya viwanda ni ni kuwa ili viwanda vistawi
hiyo shughuli inapaswa kufanywa na sekta binafsi zaidi....kuliko serikali
na sekta binafsi inapaswa iwe ready na ipewe incentives za kutosha kwa muda mrefu
Nviwanda sio kazi ya mwaka mmoja au miwili...ni kazi ya mda mrefu hadi useme kiwanda
kimefanikiwa kustawi
Binafsi naona Magufuli na serikali yake watoe kipaumbele kwa utalii....zaidi kuliko viwanda kwa sasa...
Utalii unaweza kuleta ajira za uhakika nyingi sana kwa haraka
na pesa za kigeni nyingi zaidi
Tayari utalii ndo sekta inayo ongoza Tanzania kwa kuingiza pesa za kigeni..ingawa hatuupi kipaumbele
Tanzania now inapokea watalii milioni moja tu wastani
Licha ya kuwa na vivutio best in Africa kama sio one of the best in the world...
Kwa mbuga za wanyama Serengeti ndio the BIGGEST IN THE WORLD..kwa idadi ya wanyama
wakati Selous ni BIGGEST IN THE WORLD kwa eneo tu la wanyama
infact Selous ardhi yake ni kubwa sawa na Belgium ambayo uchumi wake ni zaidi ya nchi
zote za Africa chini ya Sahara....
Ukiacha hivyo tuna vivutio vingi mno hadi inachosha kuvitaja
Saadani ndo 'THE ONLY PLACE IN THE WORLD' ambapo kuna wanyama pori
na beach hapo hapo......
Sasa pamoja naya vyote hivyo hatupo hata TOP FIVE ya Africa kwa kutembelewa na watalii
The Top 5 African Countries with the Most Tourist Visits
Tukiweza ku attract watalii milioni 5 tu kila mwaka tutajitosheleza bajeti
na tukiweza kuzidi hapo tunaweza fanya mengi ikiwemo kuwekeza kwenye viwanda...
Utaliii unapaswa kupewa kipaumbele.....sababu ni rahisi zaidi kuliko 'process ya industrialization'
Washauri wa Magufuli hamlioni hili?