Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Habari wakuu!
Nimehamasika. Nimewahasisha.
Nimewahamasisha watu wangu wa karibu, Nimewahamasisha watu wa kaya yangu, Mungu akitujaalia kuamka salama October 25, tutafanya matumizi sahihi ya VIKATIO, na kwa idadi, kaya yangu ina watu 7, na wote wameniahidi mabadiliko!
Tumekubaliana baada ya matumizi sahihi ya VIKATIO siku hiyo, turudi nyumbani, mama yeyoo aandae pilau, Tv iwe ON, generator letu liwe full japo ni kuu kuu, simu ziwe full charged, wana kaya wawe karibu sana na JF, na kila latest ama breaking news isitupite.
Nimehamasika, nitakuwepo nyumbani!
Je, wewe utakuwa wapi October 25?