Tatizo lako unakurupuka. Siri gani niliyoitoa. Mgônjwa yeyote akipona si anapewa muda ahudhurie clinic ili kuona anaendeleaje na tatizo lililomkumba? Panua uwezo wako wa kufikiri ili usifikirie unidirectional. Na kwa taarifa yako umegundua kitu ambacho sicho.
Afadhali na wewe umeobserve, humu ndani kuna watu hawajui hata ukiwaelimisha hawataki kuelewa. Wanataka vile wanavyofikiri wao tu! BTW R.I.P Jane! Gone too young!
This is the ône. Pole kwa ndugu na marafiki kwa kuondokewa na mpendwa wenu. Nimesikitika sana.!!
kaumwa,ajali au ghafla?
Picha ya pili ya jane umeingalia vizuri? mtu mzima hapigiwi filimbi bwana, tumia akili ya kiutu uzima
Ndugu yangu Nyalotsi humu JF kuna tofauti kubwa sana ya uwezo wa kupambanua mambo kwa baadhi ya watu hivyo wewe piga kimya sijaona mahali popote ulipokosea.Zaidi na zaidi nimesikitika kuona baadhi ya Watanzania wenzangu hawajui maana ya neno CLINIC.
NEVER ARGUE WITH STUPID PEOPLE,THEY WILL DRAG YOU DOWN TO THEIR LEVEL AND THEN BEAT YOU WITH EXPERIENCE.
R.I.P Jane
we vipi! Ametoa siri
gani? Mbna kuna clinic za kisukari,kansa,aids na hata moyo.hakuna siri
ilyotolewa.
Confidentiality ya marehemu imevunjwa mkuu huna cha kujitetea hapa.iwe ilikuwa clinic ya ujauzito,kisukari,Tb n.k kama wewe ni professional hukumtendea haki.
uyu mdada namkumbuka jamaniii. Tulizoea kukutana naye na kampani yao pale metropole na city park tukiwa arusha. Alikuwa mtu wa watu,TRA pale wamepoteza rafiki mcheshi na mpole...poleni kwa kampani yake , nawakumbuka wachache akina Zilla Zion, Raynald Karubaga,Ema Lumbanga,Ambakisye ,Kananda-Amani na wengineo. Poleni sana kwa kumpoteza mmpare wenu mchapakazi...Niliambiwa figo zilimsumbua sana nkatamani nimpe ya kwangu ila ndo ivo nami spana mkononi.... Tangulia Jane ,hakuna atakayebaki uku, woote twaja ila kila mtu na muda aliopangiwa
Poleni wazazi,crdb na friends wake wooote. RIP JANE.
Pole marafiki,pole Emma Lumbanga mkacheck na afya zenu sasa..mungu akuleemu dada Jane
arusha ni kama stand moja ya bodaboda na bajaj wote unafahamiana .polen sana
Nadhani huyu ndiye wa kwanza kutangazwa bila kutangulizwa neno billionaire. Kweli Arusha padogo,wote wanajuana.
jamani,mbona mnalumbana wenyewe kwa wenyewe badala ya kujadili hoja?demu amechomoka kwa ngwengwe nini?
Pole marafiki,pole Emma Lumbanga mkacheck na afya zenu sasa..mungu akuleemu dada Jane
aya msiopigiwa filimbi bhana, nyie si mna life assurance toka kwa Mungu? hongereni......