Utakubali tena??

Utakubali tena??

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Hebu tu fikiria kuwa bado hujazaliwa,halafu unayashuhudia yote yanayotokea hapa duniani.Kisha ukaulizwa,uzaliwe au ubaki hukohuko.
'
Utakubali uzaliwe?
 
Inategemea huko huko ni wapi na pakoje.., Ila kama unauliza kama ninajuta kuzaliwa, jibu ni hapana
 
Una uhakika?Hebu jikague!

Ha ha haaa kwanini nijute kuzaliwa mkuu hata kama nimekumbana na mabaya na shida kiasi gani mkuu Je ile furaha ya sekunde chache niliyopata is it not worth it... unanikumbusha msemo wa

Its Better to have Loved and Lost than Never to have Loved at All....

Na shida zote ninazopata mkuu ila hii experience na challenges they have made me who I am, and the Journey is worth travelling
 
Kama nikiona future imekaa fresh(full bata)nitatoroka hata wakigoma nisizaliwe but if otherwise NO.
 
Binafsi sijutii kuzaliwa hapa duniani no matter nakutana na magumu kiasi gani kwani najua sitegemei mema tu kutoka kwa mungu hata mabaya pia nayategemea.
 
ya! Mi ningekubali coz challenges are there to be solved and not to be run away.

ukiona mtu anafikiria kama mtoa mada jua kabisa amekata tamaa na hawazi kama ulivyosema hapo juu.
 
Watu wameshindwa kufikiri nje ya kiberiti.
'
Jaribuni kufikiri kwa mtindo mwingine,kwanini mnafikiri nilikua ninawaza matatizo na sio mambo mengine?
 
hahahahh! mdogo angu Eiyer unanikumbusha msemo wangu wa primare

'i was complaining of having not a shoe size until i saw someone with no foot."

tumewaza negativity of the negative simply kwasababu ume mquote sun wu that side. bad enough unacriticise ponit za mtu ili hali wewe ulitaka kujua mtazamo wa mtu.

the best thing you was you to ask him to justify his statements rather than saying
'''Una uhakika?Hebu jikague! '''
 
Last edited by a moderator:
Eiyer naomba leo nigeuke mwl nikueleweshe jambo dogo hapa.
wewe umeuliza hivi:-

Hebu tu fikiria kuwa bado hujazaliwa,halafu unayashuhudia yote yanayotokea hapa duniani.Kisha ukaulizwa,uzaliwe au ubaki hukohuko. Utakubali uzaliwe?

hili ni swali zuri sana ila tu ni subjective question na sio objective.

hapa chini sun wu kajibu kwa uwezo mpana sana wa kufikiri
Inategemea huko huko ni wapi na pakoje.., Ila kama unauliza kama ninajuta kuzaliwa, jibu ni hapana

na nikweli manake manake tulipokuwepo kabla ya aya maisha hatukuwa na ufaham pakoje, na amesema vzr sana kwamba inategemea huo pakoje so siwez kusema zuri ama ovu na mahali nisipokuwa na ufaham napo.

Una uhakika?Hebu jikague!
hapa uka criticize, sawa ndivyo ulivyoona sawa .


Ha ha haaa kwanini nijute kuzaliwa mkuu hata kama nimekumbana na mabaya na shida kiasi gani mkuu Je ile furaha ya sekunde chache niliyopata is it not worth it... unanikumbusha msemo wa

Its Better to have Loved and Lost than Never to have Loved at All....

Na shida zote ninazopata mkuu ila hii experience na challenges they have made me who I am, and the Journey is worth travelling

hapa juu sun wu akakujibu very prudently na miminikakubali jibu lake.

ya! mi ningekubali coz challenges are there to be solved and not to be run away.
ila na yeye huyu BUMI JAMES akakujibu vyema san akwa lugha nyepesi.
ukiona mtu anafikiria kama mtoa mada jua kabisa amekata tamaa na hawazi kama ulivyosema hapo juu.
mm nikamwambia kama ivi hapo juu, na me saying mtu akiwaza kama mtoa mada wewe ulitumika kama mafano tu manake ndo modo iliokuwepo mbele yangu, na kwa uzoefu mtu akianza kuwaza kukompea alikokuwa yupo sijui tumboni ama wapi na hapa duniani mara nyingi kwa psychologist huwa wana reason ana kutana na magumu san akwenye maisha kias cha kumfaya akate tamaa na pale alipo. hiyo ni kweli mnake huwez mtu uka illusinate kama huna jambo lisilokuwa na majibu. mfano mu aliyezaliwa burundi wakati wa mauaji ya kimbari ama sudan lazima afike mahali awaze hivi kama wewe mtoa mada.

Watu wameshindwa kufikiri nje ya kiberiti.
'
Jaribuni kufikiri kwa mtindo mwingine,kwanini mnafikiri nilikua ninawaza matatizo na sio mambo mengine?
haya sasa wewe tuambie nje gani ya kiberiti manake umeona mawazo ya wote sio kitu. kwangu mm is like ulitaka tukupe majibu ambayo wewe tayari unayo while the topic ni subjective. na hatuwez sote kuwaza kama wewe kwan kila mmoja ana utash wake.

kuona unawaza matatizo your writings can tell and funny enough hata pale unapopelekwa kwenye opposite side bado unaona shaka.

mm nakuuliza swali hili ''what drove you to write such a topic??''

hapa nikuitie Kiranga na Asprin waje wakueleweshe
 
Last edited by a moderator:
Kwanza niwe muungwana,nashangaa MOD alieihamishia hii thread Chit-Chat,sijui ameona huu ni utani kivipi!

Sio siri wewe ulieihamisha hii thread umenikwaza sana,sijui umefikiri kivipi!
 
mi nitakubali kuzaliwa lakini nipelekwe mbele huko...ambapo wanadamu wanavuta hewa safi ya oksijeni.
 
gfsonwin,nitasema machache kwa kuwa MOD amekwaza sana.
'
Faham kuwa aina na lengo la swali halikua kulinganisha maisha ya duniani na huko tulikokua kabla ya kuzaliwa,hivyo lugha za "inategemea huko huko kukoje" ni za kimakosa.
'
Msingi wa swali langu ni kuwafanya watu(sio mimi)wajiulize kuhusu maisha wanaoishi hapa duniani.
'
Sikumpinga sun wu kama wewe unavyodhani,nilichokifanya ni kumuuliza swali ambalo litanifanya mimi na yoyte atakaesoma uzi huu kujua kama @su wu ana sababu za kutosha kusema vile.
'
Uliposema "mtu akiwaza KAMA MTOA MADA" hii ni kauli yenye maana mbili
'
Moja,mtoa mada ndio mawazo yake.
Mbili,mtoa mada kawakilisa wanaowaza hivyo.
'
Nilipokuambia "wrong" nilitaka kujua ulikua na maana gani kati ya hizo mbili..
'
Lakini ulipodhani nampinga sun wu na uliponiuliza "what drove you to ask such question" nikagundua ulikua na maana ya kwanza.
'
Na hili ni tatizo hapa JF,watu hawaiangalii mada inafundisha nini,wanadhani mtoa mada ndilo tatizo lake,zipo mada za aina hii lakini sio zote.
'
Pia nilipomuuliza sun wu sikutaka ajibu kama ninavyotaka mimi,sababu ya kumjibu hivyo nimekuambia hapo juu na kwa nyongeza ni kuwa ili mjadala uwe mzuri kunatakiwa kuwe na pande mbili.
'
Kwa hayo machache nadhani utakua umenielewa!
 
Last edited by a moderator:
Warembo wa zuri ivo nikae tumboni nikifanya nn labda? ??
 
Mi ningekubali kuzaliwa bana... Laifu tamu... Si unajua mbinguni ni kuimba tu daily... Njoo duniani ubadili mazingira
 
Back
Top Bottom