Utakubali kwenda kupima DNA endapo itatolewa bure?

Utakubali kwenda kupima DNA endapo itatolewa bure?

Mimi nimefanana na baba yangu. Na ndugu zangu upande wa baba hata kama wananiona leo wananiuliza wewe ni mtoto wa mzee fulani? Nawajibu haswaa ndiye mimi umejuaje? Anajibu sura tu inaonyesha.

Basi najiamini kwamba kuzaliwa kwangu hakukua na goli la mkono.
Ikitokea DNA itakuwa ni sawa tu kupima au kutopima no effect.

Japo sina mtoto bado.
Good, kwahiyo usingefanana na baba yako ungekubali kwenda kupima right?
 
Asa mie nafanana na mshua kama mapacha vile,so kama kuibiwa labda mzee aliibiwa na majini,mwanangu naye hivyohivyo kwahyo hakuna haja.
 
Matokeo yanaleta hofu, ukimwambia mke tupime kama mtoto ni halali yako huwa anasita. Yeye anajua ni wake kwani kamzaa anahofia nini kama anajiamini? Mashaka yananiletea wasiwasi. Huenda siku ya mimba alichepuka hivyo wasiwasi. Mkubali jibu lolote litapokelewa kumbuka kitanda hakizai haramu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilamtu anatakiwa abebe msalaba wake, hayo mambo ya kusema kitanda hakizai haramu ni kuhalalisha uchepukaji kwa wanawake
 
Back
Top Bottom