utakosaje kipindupindu!?.

...ccm ccm daaah, imewanyung'unya watuuu mpaka basiii....
 
Sio Tanzania........Burundi hapo..........
 
Watz bwana shida sn hebu tizama watu wanaishi utafikiri cjui kitu gani
Hapo cjui utailaum serikal au watu wenyewe ?maan hiyo sehem lazim ni bondeni tu na hili tatizo dar limizidi sn
Nafikiri mikoani hakuna sampuli hii ya maisha .Hatari maisha ya dar es salaam.
 
Kigogo?
Vingunguti?
Kwa mnyaman?
Msimbazi?
Jangwan
Wapi sasa tuambie
 
Ndio maisha yetu ya uswazi sasa tufanyeje?

Meya wa jiji hana habari na sisi
 
usafi ni jambo muhimu ila kwa wanaotambua umuhimu wake. kwa muonekano huu magonjwa ya mlipuko hayotakuja kuisha kamwe.
 
Daaa aisee tunaishi kwa nguvu za Mola siku zenyewe hazisogei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…