H Haika Kimaro Member Joined Dec 25, 2025 Posts 12 Reaction score 42 Jan 2, 2026 #1 Nafurahi kuwa shabiki wa Hassan Mwakinyo akiwa ulingoni. Huwa hakubali kushindwa kirahisi rahisi iwe ulingoni ama nje ya ulingo. Mungu aniepushe nisije kuingia kwenye 18 za mdigo yeyote nikasutwa🤣🤣
Nafurahi kuwa shabiki wa Hassan Mwakinyo akiwa ulingoni. Huwa hakubali kushindwa kirahisi rahisi iwe ulingoni ama nje ya ulingo. Mungu aniepushe nisije kuingia kwenye 18 za mdigo yeyote nikasutwa🤣🤣
feyzal JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 9,010 Reaction score 18,658 Jan 2, 2026 #2 Anajua value yake..oya boksa sio mchezo lelemama unaweza poteza akili na maisha lazima mtu atake mtonyo wa kueleweka.
Anajua value yake..oya boksa sio mchezo lelemama unaweza poteza akili na maisha lazima mtu atake mtonyo wa kueleweka.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,956 Reaction score 98,069 Jan 2, 2026 #3 Duuh hatari sana 50m mbona ni pesa nyingi sana kwa wengi wetu? Crown ndiyo gari ya ndoto yangu nikija kuokota hela tena athelete black.
Duuh hatari sana 50m mbona ni pesa nyingi sana kwa wengi wetu? Crown ndiyo gari ya ndoto yangu nikija kuokota hela tena athelete black.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,827 Reaction score 39,741 Jan 2, 2026 #4 King Kong III said: Duuh hatari sana 50m mbona ni pesa nyingi sana kwa wengi wetu? Crown ndiyo gari ya ndoto yangu nikija kuokota hela tena athelete black. Click to expand... Hawa wanapamba mjadala ukue kuonekane Kuna bifu wapigane watutoe kwenye reli
King Kong III said: Duuh hatari sana 50m mbona ni pesa nyingi sana kwa wengi wetu? Crown ndiyo gari ya ndoto yangu nikija kuokota hela tena athelete black. Click to expand... Hawa wanapamba mjadala ukue kuonekane Kuna bifu wapigane watutoe kwenye reli