Utajuaje?

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Mwaka unaisha hivo... pengine mwakani kuna wenye mipango yaku oa au kwa lugha nzuri zaidi kuvuta jiko.

Je, utajuaje kwamba mwanamke ulie kutana nae ghafla bin vu ndio pengine mwanamke wa maisha yako. Mimi naamini kabisa mwezi 1 una uwezo wakupata dalili za awali kabisa kwamba huyu ndie wa ubavu wangu au changa la macho.... Dalili tafadhali??
 
Kwanini ukutane gafla bin vuu utangaze na ndoa unawahi nini?
 
There is no crystal ball to it.

That is because unpredictability is a fundamental part of the human condition.
 
Angalia tamthilia kwa wingi ndiyo utajua... ukiona ghafla bin vu na lisongi juu.. huyo ndiyo wa maisha..
 
Angalia tamthilia kwa wingi ndiyo utajua... ukiona ghafla bin vu na lisongi juu.. huyo ndiyo wa maisha..
πŸ˜‰πŸ™„ so akiona Secreto DE amore inapigwa basi ndo amempata!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…