utajuaje.....

Mbaya unapohangaika hivi afu ukijaribu kumwambia anakupotezea au anaona miyeyusho tu waweza jinyonga

pole ila sometimes inatokea hasa kwa wadada huwa ni shida sana maana unapigana na ile dhana ya kwamba huwezi mwambia mwanamme unamfeel atakuona hujatulia.

Na mara nyingi ni kweli ukimwambia anakuona hutatulia hapo ndo waweza kunywa sumu.

Kama hivyo unamuwaza mara nyingi...asipokutext unajistress kwanini hajakutext..ukimuona moyo unashtuka na kuenda mbio zaidi ya Tevez...ukimkumbuka unatabasam tuuuu...unakuwa concerned sana na ishu zake...vitu kama hivyo!
 
wasukuma tunasema binti wa kweli ukiwa nae lazima muheshimiwa asimame...asipo cmama bola katafte mwingine
 
Mbaya unapohangaika hivi afu ukijaribu kumwambia anakupotezea au anaona miyeyusho tu waweza jinyonga

pole ila sometimes inatokea hasa kwa wadada huwa ni shida sana maana unapigana na ile dhana ya kwamba huwezi mwambia mwanamme unamfeel atakuona hujatulia.

Na mara nyingi ni kweli ukimwambia anakuona hutatulia hapo ndo waweza kunywa sumu.

mzee unaown love university nini...... manake comment zako ni za ukweli kinyama yani..!
 
Back
Top Bottom