Utajuaje una majini mahaba?

Utajuaje una majini mahaba?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,870
DALILI ZA KUJIJUA KAMA UNA JINI MAHABA.

1. Kuota unafanya MAPENZI na MTU unayomjua au usiyemjua kwa sura tofauti.

2. Kuota unafanya mapenzi na mnyama.

3. Kuota unanyonyesha au kujifungua mtoto.

4. Kutokudumu kwnye mahusiano kama ndoa au mchumba.

5. Kuwa na hasira za haraka.

6. Kukwama kwa mipango yako.

7. Kupoteza pesa au vitu vya thamani, unaweza ukaweka pesa kwenye walet au mahali salama kabisa kisha ukakuta zimepungua.

8. Kutokuwa na hamu ya mapenz kwa wanawake na wanaume kutokuwa na nguvu za kiume.

9. Kuota umefunga ndoa.

10. Maumivu ya kichwa,mgongo,kiuno na tumbo haswa chini ya kitovu.

11. Kuvulugika siku au kuharibika kwa mimba au kutoshika mimba kabisa.

12. Kuumwa U.T.I isiyoisha inayojirudia.

13. Kutokupenda kabisa mahusiano.

14. Matiti kujaa au kutoa maziwa na hauko mjamzito au unanyonyesha.

UKIJIJUA UNADALILI HIZI JUA JINI MAHABA AU ANZURA ANAKAA NDANI YAko
 
Hmmm hizi dalili zote kwa pamoja anapata mtu mmoja? Na jinsia gani?
 
Back
Top Bottom