EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,716
Kama daladala imejaa tembea ufike kituo cha mbele upande huko halafu ugeuze nayo,ndo watu wa mbagala wanafanyaHiyo namba tano imenigusa sana, nilipata tabu sana siku hiyo lol[emoji23]
misiba miwili na wa meimosiMkuu tuko kwenye msiba ujue[emoji17]
πππππππKama jamaa mmoja huko Nigeria. Mtoto kadai anunuliwe iPhone X apewe zawadi siku ya birthday.Hela aliyo nayo jamaa ni ya kulipa kodi ya nyumba. Kwa kuwa mtoto alisisitiza kuwa bila iPhone na uhusiano uishe jamaa kafanya mamuzi magumu. Alitumia hela ya kodi kununua simu ya mpenzi wake na kumpa zawadi siku ya birthday. Penzi alilopewa siku hiyo ni la kufa mtu. Lakini siku iliyofuata ilikuwa ndio ya kukabidhi kodi kwa mwenye nyumba. Jamaa hela hana mwenye nyumba kachachamaa anadai jamaa kama hana hela afungashe aondoke. Jamaa kichwa kinauma.
Tabia yako ya kuhonga. Laki 3,..wakati unalipwa laki 4 uiacheUsitake peperusha njiwa wangu aliyeanza nasa mtegoni,nilimuambia nitamuoa.....
Hiyo mbona haina shida sasa,ningekuwa nahonga laki4 halafu mshahara nalipwa laki3 ndo ingekuwa issueTabia yako ya kuhonga. Laki 3,..wakati unalipwa laki 4 uiache
HahaHiyo mbona haina shida sasa,ningekuwa nahonga laki4 halafu mshahara nalipwa laki3 ndo ingekuwa issue