Utajuaje mwanamke kala ndoano?

Anakupigia then kabla hujapokea anakata, ukimpigia wewe ukamuuliza vp mbona umebip au nimekuta misscall yako atadai eee mbona mie ckupiga ila kuna mtu kaniazima labda kabonyeza bhy mbaya kwenye jina lako au kuna watoto hapa om wanapenda sana kuchezea cm yngu uenda ni wao wamepga bht mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…