Utajuaje mwanamke kala ndoano?

Mimi ni wa kike.

Inaungika kwa fundo kumbuka,

Sio kila jiwe ling'aalo ni dhahabu

Be a calculative risk taker sio tu kwa kuwa una ndoano unavuta kamba,

Itakukostii mkuu

Ok my dada ndio maana unahofia! !!!
Na hamna uvuvi mzuri kama wa kamba kukatika na kuwa na mafundo, yaani kama unakula mua vile!!!!!
Raha yake iko hapa; mambo yakinyooka mnaanza kukumbushiana mastori ya zamani hapo kwa pillow talk sasa!!!!!Male; Hivi honey why ulinisumbua???? Female; We ulidhani mi embe uokote tuu!!!!???? Male; Sikujua kama kuna siku tutakaa hivi kama wapenzi Female; Usibweteke ujue ukinizingua nakukazia si unanijua lakini???!! Male; Duuunh sitamani asee iwe kama siku ile pale dukani karibu na kwenu maana nakuita na unaniona ila hata ukope haukukucheza nikajua ndio baas tena Female; Yaani baby those days nilikuwa nakuona ndo wale wale tuuu!!!!!

Na mambo kama hayo sasa uvuvi usio na historia kama hii daaaanh yaani kama unanua nyama buchani!!!!!!????
 
kwa dalili hizo...... kwangu wengi washakula ndoano kazi kwangu naanza kuvuta kamba ipi....... (Matokeo yakiwa tofaut muanzisha mada utakuwa na kesi ya kujibu)
 
Wengine dagaa kamba jamani. ukimvuta akitaka kutoka nje ya maji anaachia ndoano. Ila kama mikambare sana tu.
 
tatizo hawa watoto wa siku hizi wakishakula ndoano wanaanza kula Wallet..
 
Ishu ni kuvuta kamba tu, hayo mengine huwa tunayajulia huko huko mbele kwa mbele...

Yaani ni kuvuta kamba tuuu

safi sana mkuu, vuta kamba.
 
Mmmh hapo kun mawili ndugu wengine ukivuta kamba inatoka patupu,ila kama anapenda kusoviwa mkiwa wawili tu hataki waje wengine huyo vuta kamba

mkuu Daudi1 hicho kitu kimewahi kunitokea, nilipenda sana kufundisha wenzangu, nikajikuta wadada wawili marafiki wakija kila mara, mmoja kumbe ana yake akawa anampiga vita mwenzake, akawa anakuja wakati wake ili asiongozane na mwenzake, kwa kuwa radar yangu ishamnasa nikawa najichimbia naye wawili tu hadi tunataoroka vipindi, nilipovuta kamba ikatiki.
 
Last edited by a moderator:
wifi mzima??????!!!!



tayar apo kesha nasaaaaaaaa…
 

kama umekufurahisha hujaona kitufe cha like??? watu wachoyo jamani, dah!
 

Ataanza kukuita bebi
 
Sijaona hata mmoja aliyeleta ripoti ya kwamba amevuta kamba, je malengo ya somo hayajafikiwa?
Ahh...hata wale wanaokutana kule love connect!
 
...ikiona anajiremba sana na kuvaa nguo nzuri tofauti na hapo awalii... "vuta kamba"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…