Utajisikiaje ikikukuta hii?


We ulitegemea kuserereka ukskuta mshkaji grease ajaweka ukabuma... Nd roho isingekuuma kama ukutegemea kulipiwa....acha kutuchora eroo
 
Hv shule hazimefungwa? Haya ndo matatzo yake...
 
Hv shule zimefungwa? Haya ndo matatzo yake...
 
We vipi? hakuna cha huruma wala nn? HANA BAJETI YAKO!!!!! Je ikitokea anakutana na marafiki kwa mwezi kwa scenario kama yako ndo awalipie wote? .......:rapture:
 
We vipi? hakuna cha huruma wala nn? HANA BAJETI YAKO!!!!! Je ikitokea anakutana na marafiki kwa mwezi kwa scenario kama yako ndo awalipie wote? .......:rapture:
Au nawewe ni kama yeye?
 
Maisha ya mjini ni bajeti ndugu! Alishapiga mahesabu yake vizuri sana kabla ya kuondoka nyumbani na hakujua atakutana na wewe. Usimwelewe vibaya, maisha ya mjini hata wewe unayafahamu sana.
 
Maisha ya mjini ni bajeti ndugu! Alishapiga mahesabu yake vizuri sana kabla ya kuondoka nyumbani na hakujua atakutana na wewe. Usimwelewe vibaya, maisha ya mjini hata wewe unayafahamu sana.
nashukuru ndugu yangu nimekuelewa sana
 
uzi wa kitoto sana huu unajua hata yeye anashangaa kwanini wewe hukulipa nauli ya wawili
 
:israel:kaazi kweli...hata nauli ya daladala imekua issue...
tubadilike jamani mujini maisha kwa bajeti...ingelikuwa busara kama ungemzuia asilipe,,,ulipe wewe halafu utuletee storiii ya uungwana na ukarimu wako kwa watu mliokuwa nao zamani.....:A S cry:
 

Haya chagua tusi haraka.
 
Au nawewe ni kama yeye?

Wewe bana hapa mjini tunaishi kwa bajeti. hiyo ten mwenzio ndo bajet ya week. '' no change ina baki'' sa akikulipia wewe ye kesho atembee kwa miguu? ...Bongo tunapenda mitelezo sana( a.k.a kwa sadala). Nenda kenya hapo ucheki jamaa wanavyoishi full bajeti.
 
Kwahiyo mngekutana ubongo wote mnaelekea Mwanza au Mbeya ungetegemea napo akulipie nauli na asingelipa ungekuja hapa kutuonesha mshangao?

Jua kutoa ni moyo mkuu twitybird
 
Last edited by a moderator:

Mkuu ukali wote wa nn sisi watz tumekua wakarimu sana ,hata mm nisingeweza kufanya hivyo kwani mianne utapungukiwa na nn


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nimeipandaje comment yako.chukua like yangu,kama vile ulikuwa kwenye mind yangu
 
Ahahahahaa...uuuwiiii,watu wengine bana,limbukeni kweli.Me nilidhani ni ishu ya maana kumbe ni huu upuuzi? Daa..katiba iseme "Kama huna la maana kwa jamii,usililete humu JF"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…