Tafuta mnyama, ningekushauri chatu, tafuta kinda,
Mfuge Kwa kumpa anachostahili kula, ole wako, usimpe kilichokufa, pia usimshindishe njaa,
Hakikisha unamuona muda wa kumpa chakula tuu basi, pia hakikisha hakuna mtu yeyote atakayefahamu kuwa unafuga chatu, iwe Siri,
Akifa na mtu atakufa, uhai wake ndio utajiri wako, linda silka zake, na yeye atalinda mali zako,
Milele abaki kuwa rafiki wako wa Siri, ndie mwenye kukupa nguvu, hakikisha anaua mwenyewe, pia usimuweke kwenye sakafu, na chakula utampatia wewe mwenyewe
Utambadilishia kitoweo kutokana na umri, na mara Moja moja jitahidi kumsogelea karibu ili azoee harufu yako
Pia ningekushauri ungeweka mbali wanawake na familia Kwa Sasa, ili wasikuharibie mambo
Ahsante