Utajiri wa Ndagu/Majini

Mtu akishakubali mwenyewe hiyo mizimu haiwezi kumzuia
Mkuu una uhakika na hili? Mfano Mimi Nina mizimu ya kimakonde, naenda kutafuta utajiri kwa mtaalam mwenye mizimu ya kinyaturu, hapo Inawezekana kweli kwamba mizimu yangu watakubali kwamba waniachie kwamba alimradi nimekubali mwenyewe bila kulazimishwa.......na mtu wa namna hio anaweza kweli kufanikiwa kupitia mizimu ya makabila mengine ilihali yeye ni WA kabila tofaut
 
Swali lako kama lina ka mantiki flani hivi
 
hivi nikweli utajiri wa aina hii upo..? mbona nimeutafuta sana siupati.?

Nahitaji kufanikiwa ndani yamuda mfupi tu. mwenye hizo connection nitamshukuru sana akinipa muongozo wakufanikisha hilo jambo. umasikini mateso sana

NATAKA PESA ZACHAP CHAP
Muone chief godlove
 
Mzee unaweza kutembea na Ute matakon 24hrs, kama unaweza nichek nikuunganishe, hii Haina kutoa kafara.
Unaelewa nini kuhusu neno "kafara."

Yaani mwanaume uende kudinywa na dume jenzio halafu useme haujatoa kafara? Marinda utakuwa nayo bado?

Halafu ujue huo ndio utakuwa mchezo sasa tena wakikupata wewe bikira wa kinyeo ndio kabisaaaaa. Utaanza kufulia ukishatepeta na wakapata tena new model wanakudump
 
hivi nikweli utajiri wa aina hii upo..? mbona nimeutafuta sana siupati.?

Nahitaji kufanikiwa ndani yamuda mfupi tu. mwenye hizo connection nitamshukuru sana akinipa muongozo wakufanikisha hilo jambo. umasikini mateso sana

NATAKA PESA ZACHAP CHAP
Nenda Pemba, Zanzibar, India, Israel au hapa kwetu Tanga na Mombasa, utafanikiwa tu.
 
Mkuu nitakupataje
 
hivi nikweli utajiri wa aina hii upo..? mbona nimeutafuta sana siupati.?

Nahitaji kufanikiwa ndani yamuda mfupi tu. mwenye hizo connection nitamshukuru sana akinipa muongozo wakufanikisha hilo jambo. umasikini mateso sana

NATAKA PESA ZACHAP CHAP
Piga hii namba kama upo tayari 0678063140
 
mkuu inaonekana unaelewa sana haya mambo. kama kuna chimbo naomba hio connection inbox
Haya mambo magumu chief ..fikiria tena ..unatakiwa kua na roho flan ya kutojali Wala kua na huruma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…