Utajiri wa Ndagu/Majini

Mungu alimtoa mwanae wa pekee Yesu, Ibrahim Alikubali kumwaga ubongo mwanae Isaka.

Wewe upo tayari kupididiwa kwanza ndo "usakrifaizi"?

Kama upo tayari njoo Ibadakuli shinyanga, au malampaka maswa au mwandoya simiyu.

"Microscope" iwe waliotoa manabii wa kwenye biblia.


Karibu.
 
Thubutuuu....... kupididiwa mchezo? Bora kufulia kuliko kuwa pididilized
 
Jaribu kutembelea hii mikoa na ukienda utulize akili usiwe na wenge utapata unachotaka.Geita,Shinyanga,Rukwa,Kigoma,Simiyu,Morogoro na Njombe

Ndagu au utajiri wa majini ni wa kweli lakini masharti yake au tabu zake zinaweza kuwa hatari zaidi ya huo utajiri.Omba Mungu fanya juhudi kwa kila kitu,rizika na ukipatacho na ushukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…