Utajiri wa Nairobi ni zaidi ya mara mbili ya Dar, komeni kuvilinganisha maana haviendani, Nairobi pekee yake ni kama Tanzania yote

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,407
img.jpg

  • The wealth of Africans is projected to grow by a third over the next decade
  • The continent's wealth is agglomerating in a number of urban clusters, in the south, east and west
  • Wealth is collected in a few other places - isolated capitals and mini-clusters stretching from Morocco down to Angola
Over the past decade, 19,000 Africans have become dollar millionaires. Africa's combined wealth has grown by 13% - 3% just in the last year alone. The combined individual wealth of all Africans is $2.3 trillion today – by the end of 2027, it will have increased by a third to $3.1 trillion. Clearly, it's boom time in Africa.

This map offers a revealing perspective on the wealth of the continent. The African subsoil may be resource-rich in many places, but as elsewhere in the world, it's in the great urban centres that money accumulates. And people too: by 2100, 13 of the world's 20 biggest megacities will be in Africa.

South Africa still boasts the main concentration of wealth in Africa, but no longer the only one.Image: Visual Capitalist

And this overview of Africa's richest cities, based on the The AfrAsia Bank Africa Wealth Report 2018, indicates where clusters of wealthy cities are developing across the continent, as well as showing a few more isolated locations of money aggregation.
 
Daah yaan Wakenya bana...
kazi kujilinganisha na Dar tuu, hivi hamna issue nyingine ya kulinganisha.Hii yote ni kutokana na uzi wa battle ya Dar vs NBO

Mbona hamuongelei miji mingine EA kama akina Kampala, Addis n.k

Au basi kiasfrika nyie si mnajilinganisha au mnasema mko level moja na akina Jo'burg, Lagos, Cairo, Cape Town aya hebu waangalieni hao jamaa zenu mnaojilinganisha nao.... pumbaaaavvvv

NBO na Dar ni baba mmoja na mama mmoja, yaan 54 na 29 utofauti uko wapi hapo....
Pambaneni nyang'au nyie
 
eti nye nye nyeee

NBO ni level moja na Jo'burg, Cairo, Lagos, Cape Town nyoko nyoko nyoko nyokooo....

nyie ni maskini tuu pangu pakavu tia mchuzi

EA bado sana, we've a long way to go sio kuleta majivuno yasiyo na tija hapa wakati hamna la maana mkitoka nje ya EA
EA giants ni Dar na NBO tuu ila tukitoka nje ya EA sisi wote ni takataka tuu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Duh! Umetema povu balaa!
 
Ni kweli.. tatizo ni kua uchumi wa nairoo umeshikiliwa na watu wachache mnoooo.. leaving the majority very poor... compared to dar ambapo atleast uchumi umeshikiliwa na wengi zaidi

70% ya uchumi wa Tz yote umeshikiliwa na wahindi na waarabu wachache, nyie wengine mumekusanyika huko Tandale mkigombania makopo...hehehehe
 
70% ya uchumi wa Tz yote umeshikiliwa na Wahindi na waarabu wachache, nyie wengine mumekusanyika huko Tandale mkigombania makopo...hehehehe.

99% ya ardhi yenu nyie imeshikiliwa na familia kubwa kubwa tu na matajiri wachache, Wakenya karibia wote ni wapangaji ktk nchi yao wenyewe, mna akili kweli nyie au utaahira tu ndio uliotamalaki?

Mnashindwa kuifanya ardhi yenu iwe mali ya Serikali halafu mnajiona mpo vizuri upstairs,punguani wahed nyie.
 
Ni kweli.. tatizo ni kua uchumi wa nairoo umeshikiliwa na watu wachache mnoooo.. leaving the majority very poor... compared to dar ambapo atleast uchumi umeshikiliwa na wengi zaidi
THIS IS THE MOST STUPID COMMENT I HAVE SEEN IN YEARS
 
eti nye nye nyeee

NBO ni level moja na Jo'burg, Cairo, Lagos, Cape Town nyoko nyoko nyoko nyokooo....

nyie ni maskini tuu pangu pakavu tia mchuzi

EA bado sana, we've a long way to go sio kuleta majivuno yasiyo na tija hapa wakati hamna la maana mkitoka nje ya EA
EA giants ni Dar na NBO tuu ila tukitoka nje ya EA sisi wote ni takataka tuu
Wah! Kweli umeguzwa ndipo!! Mbona hasira hivi?? Utapasuku utumbo bure ufe kisa hasira na chuki 😂 😂 😂
 
99% ya ardhi yenu nyie imeshikiliwa na familia kubwa kubwa tu na matajiri wachache, Wakenya karibia wote ni wapangaji ktk nchi yao wenyewe, mna akili kweli nyie au utaahira tu ndio uliotamalaki?

Mnashindwa kuifanya ardhi yenu iwe mali ya Serikali halafu mnajiona mpo vizuri upstairs,punguani wahed nyie.
Mbona 99% ni kidogo? Ungesema tu 100% 😂 😂. Kweli chuki haina dawa
 
img.jpg

  • The wealth of Africans is projected to grow by a third over the next decade
  • The continent's wealth is agglomerating in a number of urban clusters, in the south, east and west
  • Wealth is collected in a few other places - isolated capitals and mini-clusters stretching from Morocco down to Angola
Over the past decade, 19,000 Africans have become dollar millionaires. Africa's combined wealth has grown by 13% - 3% just in the last year alone. The combined individual wealth of all Africans is $2.3 trillion today – by the end of 2027, it will have increased by a third to $3.1 trillion. Clearly, it's boom time in Africa.

This map offers a revealing perspective on the wealth of the continent. The African subsoil may be resource-rich in many places, but as elsewhere in the world, it's in the great urban centres that money accumulates. And people too: by 2100, 13 of the world's 20 biggest megacities will be in Africa.

South Africa still boasts the main concentration of wealth in Africa, but no longer the only one.Image: Visual Capitalist

And this overview of Africa's richest cities, based on the The AfrAsia Bank Africa Wealth Report 2018, indicates where clusters of wealthy cities are developing across the continent, as well as showing a few more isolated locations of money aggregation.
Simlisema utajiri wa Nairobi ni sawa sawa na Tanzania yote
 
70% ya uchumi wa Tz yote umeshikiliwa na wahindi na waarabu wachache, nyie wengine mumekusanyika huko Tandale mkigombania makopo...hehehehe
Tatizo la Kenya sawasawa na Nigeria KILA MTU NI PROFESSOR
 
Simlisema utajiri wa Nairobi ni sawa sawa na Tanzania yote

Wewe hujiulizi hapo $54b dhidi ya Tanzania yote ambayo ni 60$ tofauti ni chenji ya bwenyenye mmoja...
Yaani Tanzania yote nchi zote mbili mpaka visiwani uunganishe uchumi wote ndio unatoshana na Nairobi, aibu iliyoje, tatizo lenu uzembe, mna kila kitu cha kuwawezesha muongoze Afrika yote kiuchumi, sema uvivu, hupewi vyote, unapewa raslimali unanyimwa akili na uwezo wa kujituma.
Au upewe kainchi kama ketu ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini uongezewe akili na uwezo wa kujituma.
 
Back
Top Bottom