Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,786
Ndio nyie kumbeAcha uwongo!
Acha uwongo!
kuna mmoja yupo pale Iringa akihisi mkojo anapanda baiskeli anakwenda kukojoa njia panda,Da!!!!!!!!
Wakati mwingine ni utaratibu tu wa maisha ya mtu hauna uhusiano wowote na ushirikina. Otherwise endelea na mawazo yako ya ushirikina!Ukweli wako ni UPI?
Sasa kama mtu unapesa uliyoipata kwa jasho kwa ikutese?
Sumbawanga ni jina tu linavumishwa na watu na kutumika kibiashara, lakini ushirikina wa nguvu upo Mbeya na MaketeVipi sumbuwanga
Sumbawanga ni jina tu linavumishwa na watu na kutumika kibiashara, lakini ushirikina wa nguvu upo Mbeya na Makete
Ni bora ukawa na Mia mfukoni lakini umeipata kwa jasho.
Nimetembea hiyo Mikoa yote ni matajiri wachache sana wanaofurahia Pesa zao.
Lakini wengi Pesa zao ni za 'ndagu' zenye masharti lukuki ambayo ni ya kujitesa tu, Usitembee na mwanamke mwingine zaidi ya mke wako, Usivae viatu zaidi ya kandambili, Usinye choo cha nyumbani n.k
Sasa hayo ni mateso ndugu zangu , Raha Pesa uifurahie na sio ikupe Karaha.
Ila mbona pale mlowo kuna kijana nae wanasema ana pesa yake niya hivyo lakini hayupo kwenye masharti ya hivyo
Ukimtazama anapiga pamba safi gari safi and coster za kumwaga mbeya tunduma
Labda hizi mambo zipo za aina tofauti sana