Utajiri wa Lowassa unavyoyatesa makanisa

rafiki yetu karugendo,kama una ushahidi wa ufisadi wake wewe tuletee ili tumshughulikie

Hivi unaishi Tanzania au Kosovo? Mtu asiyejua kama Lowasa ni fisadi basi hajui kama uanaishi au nusu mfu
 
Hivi ndugu zangu karugendo c ndie alie kuwa pandi wa kanisa katoli akazaa na mwanamke kisha akafunzwa? Au ni mwingine anaandika makala kwenye gazet la raia mwema?
 
umeongea la maana ndugu yangu, kwani nguvu ya pesa ni aina moja ya pepo ambalo wengi wameshawishika na kujitakuta wamezama huko na wala hofu ya Mungu haimo ntena mioyoni mwao
Lowassa anapiga kote kote nguvu ya fedha ni nguvu ya giza hupendwa na na wengi kwani hakuna kuabudu Mungu tena bali vito, thamani na fedha
 
 
This is too personal! Kumbuka: Weak minded people discuss about others, strong minded persons discuss about issues! Rudi kwenye hoja. Ukishajua kuwa ndiye, kisha? Rudi kwenye hoja ya msingi, friend!
 
Acha wivu kama nawe unataka upete hela zake anzisha kanisa acha ujinga na majungu
 
unaweza kutuambia sababu 1,2,3 za lowwasa kujiuzulu?
km alikuwa hana tuhuma,ni waz anawajua mafisad wenzake,mbona hakuwataja?
ww hata umpende vip,watz wote wanajua lowasa FSD,hafai kuongoza hata nyumba 10!

Mtz mwenzangu huyu jamaa anakubalika sana na watz japo ana kashfa. That z reality
 
siyo makanisani tu mpaka misikitini pesa haramu zimeingizwa kazi kweli kweli yetu macho watanzania wanao sahau mara kwa mara

Mtakufa kwa Wivu nyie wabongo. Nyota inang'ara.
 

Richmond ndiyo aliyoitembelea Obama but jina ni Symbion. Hii inadhihirisha mitambo ilikuwa poa. Chuki za wabongo ndiyo zilimchafua. But jamaa anakubalika vilivyo Mkuu.
 
Inakuwa kama hii!!!!



Kuna vitu vingine wewe fisi ukivitamani lakini ukawa huna uwezo kuvimiliki usikenue meno.
 
😛ainkiller::mwaaah::mwaaah::mwaaah: Nipo kwenye penzi zito na chama changu cha mapinduzi
 
ndo maana makanisa siku hizi yanachomwa moto make yamejiingiza kwenye siasa tena si za kuwaokoa watu bali za kinafiki alafu wakadhani watabaki salama ..kama wanaruhusu ujinga huu ni bora yachomwe moto make sisi tunalia na wezi wetu wao ndo hao hao wanaowatukuza madhabauni
 
Viongozi wetu hawa wa Dini wamepoteza mwelekeo kabisa na ni janga kubwa kuruhusu uovu huu wa kupokea fedha za mafisadi
Lowassa anapiga kote kote nguvu ya fedha ni nguvu ya giza hupendwa na na wengi kwani hakuna kuabudu Mungu tena bali vito, thamani na fedha
 
Wabongo fitina kweli hela za lowasa na ufisadi wapi na wapi acheni hzo
 
Makanisa yamekuwa dampo la kusafishia uovu ili mradi pesa zipatikane. Dini inspokuwa hivi si kingine ila ushetani tu. Si makanisa si misikiti. Hsta makanisa yaliyokuwa na uadilifu na kutojihusisha na maswala ya wanasiasa kama wasabato siku hizi nao wameingia kwenye mkumbo huu.
RC, Lutheran, Anglican, Moravian na waprotestanti wengine ndio kabisa. Ukiwaonyesha pesa hata kama zimelowa damu watachukua tu. Walokole sasa na ulokole wao unoota ndevu za panya zisizokuwa na umri wala utaratibu ndiko hasa wanahitaji hizo pesa hata kama zimeibwa jana na kwa vile hawana mkubwa wala mdogo kila anayejua kuongea kwa sauti ya kukwaruza ayajiita nabii. mtume na mpakwa mafuta. Mpakwa mafuta hakosei akialika mafisadi inamaana Mwenyezi Mungu kabariki. Watu wale wa mtume asiyejua kusoma wala kuandika ndio basi, wao mwenye hela ndiye baba.
Kwa ufupi dini ni kichaka cha kuficha maovu na kwa vile bara Afrika bado tunasikiliza hawa wanafiki na kuwapa heshima watatumaliza kwa kushirikiana na watawala wanaowaonesha noti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…