harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,359
Mwezi uliopita nilitoka Iringa kikazi wakati nipo kule Gest niliyofikia ilikua ni nyumba upande mmoja inaishi familia na sehemu ya pili ni gest.
Nilijaribu kumdodosa yule mhudumu kuhusu fedha za kichawi ninazosikia kwamba kuna mganga ambaye ukifika anafanya dawa na kumuita jogoo kisha anamtupia punje za mahindi na jogoo akila punje chache na wewe utapata fedha ila kwa miaka michache halafu utakufa.
sasa wadau nauliza kuna mtu ambaye anajua mtaalamu mwingine ambaye anaweza fanya mambo ukapata fedha ya fasta ambayo haina masharti magumu kama haya ya kuua ,kufa na mengine ya kafara za mara kwa mara.
NAWASILISHA