Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Jamani nitumieni basi na mie lol.....
umeshatumiwa au ni do ze nidful
Jamani nitumieni basi na mie lol.....
Kumbe hili tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhani eeeh....uuuwii nasikia kuharisha mimi
Tayari nime ku PM !
Sorry nilikuwa Tech & Gadgets kulee ! Juu !
Snipa hebu ntupie nami mana toka jana nimeisubiria
Yaan mnaniuaa kila mmoja akija anataka kurushiwaaaa jaman umbeaa mtamuu aisee
Shurti umpe n mwenzio
Snipa hebu ntupie nami mana toka jana nimeisubiria
Hahhhhahha kakurushiaaa sasaaa
Shosti nimechelewa kuja sijajua ni nini chaendelea ila na mimi nataka
Cc Heaven on Earth
Hahhhahahhhahha jamaniii