Mkoani Iringa kwenye wilaya ya Njombe kuna mtu anaitwa Mwakipande ambaye alijulikana sana kwa kutoa utajiri mkubwa kwa kila aliyetaka kuwa tajiri mradi amudu masharti yake. Ingawa bwana huyu Mwakipande nasikia amekufa shughuli zake zinaendelezwa na mtoto wake ambaye nasikia anaendelea kugawa utajiri kwa vijana hususani wakinga na wabena ambao wanakuwa matajiri wakubwa katika kipindi kifupi cha chini ya mwaka mmoja.
Miongoni mwa watu/kampuni/biashara nilizopata fununu kuwa zinatokana na miujiza ya mwakipande ni
Sayuni mmiliki alikuwa akiitwa Mahenge-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Kiswele-biashara ya mabasi Dar-Mbeya
Jah people-Malori-mmiliki ni mbunge wa ccm
Widambe-Mabasi Njombe-Dar
Igesa line n.k
Swali langu ni jeh huyu Mwakipande ni kweli anagawa huo utajiri?
Aisee we wa wapi bana?
umeenza majibu then unakuja na swali!
kwa kifupi swali lako majibu yake ni hayo uliyotujuza wanajamvi unless uwe umetunga then unataka proof!!