Utajiri na Rasilimali za Tanzania

Utajiri na Rasilimali za Tanzania

Rasilimali Watu:

Population: Mainland--41.8 million (2010 est.). Zanzibar--1.3 million (est.).

Language: Official--Kiswahili and English; national--Kiswahili.

Education: Attendance--73.2% mainland (primary), 71.4% Zanzibar. Literacy--females 67.0% mainland, 76.8%

Zanzibar; males 79.9% mainland, 86.0% Zanzibar.

Health: Infant mortality rate--68/1,000. Life expectancy--52.4 years (2010 est.).

Work force: Agriculture--80.0%; industry, commerce, government--20.0%

Source:
Tanzania
 
Sanctus,

..hapo kwenye water bodies, three of the 10 largest lakes in the world are in Tanzania.
 
Mkuu, maybe just intelligent enough to understand that we're talking about the natural resources that other nations envy, tuna almasi, gold,Tanzanite, na madini ya kila aina halafu unazungumzia vitumbua vya vumbii?Please mkuu...

Kama hutaki tuzungumzie yale mnayochukua ten pasenti basi una insult intelligence za watu humu.

Chukua ten pasenti ya kutengeneza vitumbua vya vumbi basi, acha hizo wewe.

Jmushi!

I am not apologizing for what I have said in my last post. The truth is if you don't have knowledge which adds value into your natural resources , you will not gain anything in this world.

People are the best natural resources for any country. So instead of counting the number of natural resources, let's list the number of Tanzanians with advance degrees from respectable universities. These are the invinsible hands of the country. These are the people who can turn dust into vitumbua because they have Tech know-how.

While those with knowledge take advantage of your resources, as usual go ahead and sing you favourite your patriotic song:

Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
 
Sanctus,

..hapo kwenye water bodies, three of the 10 largest lakes in the world are in Tanzania.

Thank you kwa kuongezea.

Tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu 2015, jiulize why are we still poor after all these years wakati tuna rasilimali nyingi sana? Na je ni Kiongozi yupi utakayemchagua ambaye atabadili mwendelezo ya maisha haya?
 
Thank you kwa kuongezea.

Tunapoelekea katika Uchaguzi Mkuu 2015, jiulize why are we still poor after all these years wakati tuna rasilimali nyingi sana? Na je ni Kiongozi yupi utakayemchagua ambaye atabadili mwendelezo ya maisha haya?

..it makes more sense kuchagua chama tofauti na hiki ambacho kimekuwa madarakani kwa muda mrefu.

..kwenye demokrasia zilizokomaa chama kilichofanya vibaya kama CCM huwa kinaondolewa madarakani.

NB:

..namuona Dr.Magufuli kama fisadi mwenye kisimati. ana kisimati kwasababu wananchi na vyombo vya habari vimeamua kufumbia macho madudu yake, kama uuzaji wa nyumba za serikali, ununuzi wa meli mbovu, na madudu mengine pale wizarani.
 
Back
Top Bottom