Utajiri kutoka JamiiForums

Mkuu mm sijadharau hata ukienda tigo au voda pale si tunakutana na wadada wanaochangamkia wateja vizuri? sijamaanisha unavyofikiri wewe.
Sawa. Lakini ujira wake umeuita "matakataka" ndicho kilicho nifanya nikukumbushe.
 
Hongera kwa kujitambua mapema.
 
Ni kweli mkuu,hili jukwaa limetufungua wengi ni jukwaa ambalo waliofanikiwa sana kwenye ujasiriamali wanakutana na wanaotaka kufanikiwa....ila naomba nielezw unanunulia wapi bidhaa zako.?
 
Kama umeweza kuthubutu kwenye biashara, thubutu na kwenye siasa
 
Umenifungua akili sana mkuu lakin nina tatzo moja uwa navutiwa na kila wazo jema na nataman nifanye kila nalosoma kwa wakati huo ila mpaka sasa sjafanya ata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…