Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,808
^^
Unatakiwa umvizie wakati anaenda haja ndogo, pale atakapojisitiri kuna kishimo kirefu kitachimbika kutokana na msukumo mkali na wenye nguvu ambao asie bikra hatakiacha kirefu aina hicho.
(Derived from ancestral knowledge)
^^
mmmmmh sijui ila nadhani atakuwa mshamba tu.... kwani wewe wakati ulitoa bikra ilikuwaje?
Jinsi ya kuthibitisha mpe gemu atakavyokuwa anapiga na ukilinganisha na ushauri wa humu utakuwa na jibu.
mmh!! ilikuwa kazi kweli! nilitumia masaa kama nane hivi!!.. hahahaaa!!! nilifinywaje siku hiyo!
lakini bado nikapiga hati triki...!
UKWELI Unabaki pale pale akikosea kuingiza huyo ndo bikra,hii nakumbuka hata mimi ilinitokea....lakini nikaanza na kidole kwanza kujua niko sahihi?
kuwahi kukojoa hata mzoefu akiwa hajagegeda muda mrefu a.k.a kigonela lazima atakojoa haraka . Mimi siku ya kwanza kukojoa nilishangilia yeeeeeeeeeeessssssss kwa sababu bi mdada alikuwa mzoefu basi alicheka sana na akagundua kuwa nilikuwa bado...
mwanaume bikra angalia mapigo yake halafu anatetemeka huyo kama ana degedege, akikojoa muangalie anavyoshangaa.
unaingiza kidogo tuu kidole hakichomi,bali kinatekenya.....ukisikia anakutolea macho unajua ndo hapo hapo,mwanaume bikira rahisi sana kumjua hata kabla ya kuwa nae....unamchoma mwenzio kidole
Kwa kawaida mwanaume anapokutana na binti bikra ambaye hajawahi kuguswa na mwanaume atajua tu kwa sababu ya kile kitakachotokea baada ya tendo. Lakini swali ambalo nimekuwa nikijiuliza siku nyingi ni kuhusu kuwajua wanaume ambao katu hawajawahi kushiriki tendo la kujamiiana na mwanamke.
Hivi utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?
Najaribu kufikiria kuwa labda ubikira wa mwanaume ungetambulika kwa uume kuwa na layers mbili za ngozi...
Ikitumika mara moja tu basi ngozi ile ya juu inapotea na kuiacha inayofuatia na hapo mwanaume anapoteza ubikira...
Hahahah!!
Kweli eh! maana kuna mkaka kanambia kwamba yeye ni bikra, nikabaki najiuliza nitathibitishaje?
nime imagine loh kweli ulikuwa mshamba
Ulizani ni meeeeee