Utaipenda tuu

... huyo profesa j naye msaka tonge tu, kwenya sanaa alisha chuja siku nyingi sana!
 
Wewe Mandown unafikiri p jay kama s. Nyerere au hao mabongo movie wasio kuwa na funzo lolote hata kwa vizazi vyetu vya baadae.
 
... huyo profesa j naye msaka tonge tu, kwenya sanaa alisha chuja siku nyingi sana!

Labda kama kachuja kimwonekano wa sura lakini ujumbe ulioko kwenye mashairi ya nyimbo zake hautakaa uchuje kamwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…