BabM
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,166
- 956
Wakuu nataka kununua iphone 5 ila nachanganyikiwa na specification ambazo zipo sokoni. Ukitazama website ya apple utaona wanasema RAM ya iphone 5 ni 1 GB na screen ni 4 inch. Lakini sokoni kuna zenye mpaka gb 3 na screen mpaka 4.7 inch hii inakuwaje? hizo zinakuwa fake au?