Utafutaji wa temple kwa wanachuo tulio likizo

Utafutaji wa temple kwa wanachuo tulio likizo

Ndiyo maana hata kazi hampati maana hujui utakacho, naona wataka temple na si 'tempo'? Tz ajira si nyingi za ku accomodate wanafunzi. Soma kwanza.
 
Temple moja ipo pale kisutu karibu na Haidery Plaza. Inaitwa Shashkunji Temple.
 
kama kuna mtu ajua wapi taweza pata temple kwa walio majumbani basi atujuze.

'temple' unatafuta ya nini mkuu au unataka kumtolea Mungu sadaka? Kama unatafuta kazi kwa maana ya 'temporary job' ukatuandikia temple basi huwezi kupata kwani hujui unachokitafuta na elimu yako haijatimia
 
Mkuu Bakebula temple au makanisa yapo mengi sana sasa wewe ni dini gan?? Katoliki au lutheran!? Kwel hujui kanisa lilipo mpaka uje kuulizia jf!??
 
Last edited by a moderator:
Hyo n typng error nadhani mmemuelewa kijana msaidieni kimawazo hasa kwenye hyo temporal jobs anaztafuta. Me naelewa vijana wako field kwa sasa inakuaje we unatafut kaz z muda?
 
kichuo chuo we tafuta sehemu unazojua wanalipa field kachukue barua ya field chuo nenda kafanye field ya kujitolea
 
Back
Top Bottom