Mkuu hii ungeipeleka hapa kwenye jukwaa la J.F. Doctor umekuja kuleta huku kwenye Chit chat ahhhhhh? Mbona hujaleta tena Maujanja ya Computer Page 6?Umegeuka Doctor mkuu leo? Ninakusubiri kwenye Maujanja ya Computer page 6.... endelea basi MkuuKwa utafiti ulithibitika, Wireless internet mnazotumia kwenye laptop iliyowekwa juu ya mapaja inapunguza sana uwezo wa nguvu za kiume, na baadae uuaji wa mbegu za kiume. Huu ni utafiti mpya kabisa ulifanywa marekani na taasisi moja iliyohusisha vyuo vikuu kadhaa. Kwa jinsi ya utafiti ni kwamba walichukua mbegu za kiume za watu wenye umri miaka 20 hadi 45 zikawekwa chini ya laptop na baadhi zikawekwa mbali na laptop. Wakaunganisha wireless internet. Baada ya muda flani(binafsi sijui) zile za chini ya laptop robo yake zilionekana zimekufa
Source: Gazeti la UHURU la leo.
NB: Usije ukasema hili ni gazeti la Magamba.
My Take: Hizi moderm za tigo/voda/airtel nk vilevile ni wireless, so we need to take a measure to minimizde the effect. Najua wanaJF wengi tunaweka lap juu ya mapaja, hembu tukacheki afya kwanza.
Kwa utafiti ulithibitika, Wireless internet mnazotumia kwenye laptop iliyowekwa juu ya mapaja inapunguza sana uwezo wa nguvu za kiume, na baadae uuaji wa mbegu za kiume. Huu ni utafiti mpya kabisa ulifanywa marekani na taasisi moja iliyohusisha vyuo vikuu kadhaa. Kwa jinsi ya utafiti ni kwamba walichukua mbegu za kiume za watu wenye umri miaka 20 hadi 45 zikawekwa chini ya laptop na baadhi zikawekwa mbali na laptop. Wakaunganisha wireless internet. Baada ya muda flani(binafsi sijui) zile za chini ya laptop robo yake zilionekana zimekufa
Source: Gazeti la UHURU la leo.
NB: Usije ukasema hili ni gazeti la Magamba.
My Take: Hizi moderm za tigo/voda/airtel nk vilevile ni wireless, so we need to take a measure to minimizde the effect. Najua wanaJF wengi tunaweka lap juu ya mapaja, hembu tukacheki afya kwanza.
Kwa kweli hizi tafiti itafika siku zitatukataza hata kulaTafiti mbona sinakataza kila kitu, mpaka kufa. Tuendelee mdogo mdogo inshallah tutafika