Utafiti: Wanyakyusa wana manabii na mitume wengi kuliko wayahudi

Munch wa Annabelle

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
6,274
Reaction score
10,844
Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi?

Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa pamoja hawafikii idadi ya manabii na mitume ya kinyakyusa na kifaswa iliyopo mbeya na Tanzania Kwa ujumla.

Chambua
 
Hajajaja humo nako ni specoal zote..wanamtafuta vvilivyoo mwokozi waoooo
 

Bila kumsahau yule sheikh almaarufu, mwaipopo nduguye Malaria 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…