Utafiti-Wanawake msichelewe kuzaa

kuzaa mapema sio tatizo sema huyo baba wa kuzaa nae anastahili kuitwa baba maana si kila mwanaume anasifa ya ubaba.

baba baba tu j.lee hata kama katosa familia.!!!

kwani wewe unataka kuzaa au unataka nini?

mahitaji yanatofautiana kutoka mwanamke mmoja kwenda mwingine!! kuna wengine wanataka kuzalishwa tu na wengine wanataka wakae mzazi mwenzie...!

wewe wasemaje ????
 
Excel mi nataka kukaa na mzazi mwenzangu tuijenge familia yetu.
 
Last edited by a moderator:
Excel mi nataka kukaa na mzazi mwenzangu tuijenge familia yetu.

huyo mzazi asipotaka kukaa na wewe itakuwaje?

au hujui ndoa zipo nyingine katika nature ya friendship of benefits?
 
Uuuuwiiii... Natafuta wa kuzaa naye, make menopause hiyooo naiona lolest!!

Aliye serious aniPrime Minister!!
 
kuchelewa ni hadi miaka mingapi?
 
Kuchelewa huko ni muda gani? Na je madhara ya kujifungua mapema pia tudokeze. Na muda mzuri ndo miaka mingapi hadi mingapi
 
Ila kuwahi kuna raha yake jamani. Nafurahia sana kuwahi maana sasaivi ndo nakula ujana siwazi kuzaa tena.
 
Ni kweli kabisa,kuna watu wangu wa karibu wamepata madhara.
Mmoja baada ya kuzaa tu mtoto wa kwanza kizazi kimesinyaa yani kimekunjamana....ameambiwa hakuna dawa ni yeye mwenyewe kucheza na psychology yake ili kirudi kawaida,umri mkubwa umechangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…