Utafiti-Wanawake msichelewe kuzaa

We Utataabika Ili Mtoto Wako Asitaabike! Mtataabika Wote Kwani Madhara Hayo Huambatana Na Vifo, Ukifa Ukamuacha Mdogo Tayari Yatima, Au Unaweza Kufa Naye Wakati Unajifungua, ASIYECKIA LA MKUU,,,,
 
We Utataabika Ili Mtoto Wako Asitaabike! Mtataabika Wote Kwani Madhara Hayo Huambatana Na Vifo, Ukifa Ukamuacha Mdogo Tayari Yatima, Au Unaweza Kufa Naye Wakati Unajifungua, ASIYECKIA LA MKUU,,,,

Kifo akitabiriki . Nikifika
 
Mmm!!!! HIV inarelate vip na kuchelewa kuzaa? Pia huyo dr kasema eti age ya kuzaa ni kati ya 24_28, hivo dada zetu walio na 29 yrs wanashauriwa wasizae?

Mleta Uzi hapo ht mi sijamuelewa kupata HIV kwa anaechelewa kuzaa
 
endelea kusubiri nyakati zimebadilika sana asee
 
Hiyo hata mimi niliisikia na hata mama yangu aliniambia wiki iloyopita.
Bora nilizaa mapema now tunakuwa pamoja na baby boy wangu.
Hahahahahaaaaaa!!! hongera
 
Mleta Uzi hapo ht mi sijamuelewa kupata HIV kwa anaechelewa kuzaa
Kwa mujibu wa doctor hao wanaochelewa kuzaa siyo kwamba hafanyi wanafanya na wengine wanapata mimba ila wanacholopoa hapo ndo point ya HIV inaingia
 
Kwa hiyo mimba mashuleni ruksaa iki wasije kuchelewa kuzaa eeh
Mkuuu ukisoma vizuri hapo daktari amesema umr mzuri unaofaa ni kuanzia miaka 24-28 nadhani hapo watoto wa shule hawahusiki
 
matokeo haya ya utafiti yalishatolewa tanzania miaka mingi ila watu hawakuwasikiliza matokeo. lkn leo kwa kuwa mkenya/mtu wa nje amesema inaanza kuonekana kama kitu cha maana na kitu kipya. haya sio mapya tayari yalishasemwa miaka mingi tanzania
 
Sawa mkuu ni katika hali ya kukumbushana tu
 
Hembu tutafutie mjomba bana acha uvivu...
 
We Utataabika Ili Mtoto Wako Asitaabike! Mtataabika Wote Kwani Madhara Hayo Huambatana Na Vifo, Ukifa Ukamuacha Mdogo Tayari Yatima, Au Unaweza Kufa Naye Wakati Unajifungua, ASIYECKIA LA MKUU,,,,

Kifo hakina umri unaweza zaa na 20 yrs na ukafa na 23yrs, cha muhimu ni kuwa mwaminifu kwa Mungu na uishi maisha marefu.
 
kuzaa mapema sio tatizo sema huyo baba wa kuzaa nae anastahili kuitwa baba maana si kila mwanaume anasifa ya ubaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…