Nitoke nje ili ukirudi uulize nilikuwa wapi au ninatoka wapi? Humo humo tuna banana.
Tabia tu, japo na wanawake wanachangia kwa sehemu yao.Jamani. Kama utafiti huu wa gazeti la Mwananchi ni kweli basi tatizo la Michepuko limegeuka janga la kitaifa. Ni nini kinasababisha hali hii? Mlioko kwenye ndoa, kuna nini huko jamani mpaka mchepuke kiasi hiki?
View attachment 377457
Kwani hao wanawake wanachepuka na mawe au wanachepuka na wanaume? Kama jibu ni wanachepuka na wanaume basi hakuna ugum wa data collectionMichepuko ya wanawake hamtaifahamu kwani ni siri kubwa sana.
Maana yangu michepuko ya wanawake walio kwenye ndoa.Kwani hao wanawake wanachepuka na mawe au wanachepuka na wanaume? Kama jibu ni wanachepuka na wanaume basi hakuna ugum wa data collection
Worry out nimekuelewa but kuna tecniques za data collection bana maana hata hao wanaume watatoa data ilimradi wasitaje jina la muhusika pia wao wasitajwe majina yaoMaana yangu michepuko ya wanawake walio kwenye ndoa.
Hahaha kazi kweli kweliSasa tatizo wanawake wanao ingia kwenye ndoa utamu unakua ushaisha sasa mtu unaanza mapenzi ukiwa na miaka 8 ukifikia miaka 28 unaolewa sasa ukiangalia matiti yote saa 12 Jioni yanaitaji sapoti nyapu ndo ivyo tena ishatanuka to the breaking point sasa kwa nini usitafute mchepuko wenye titi saa sita nyapu bado mpya
wanaume tuna kazi aisehh
Usipinge utafiti wa mtu kabla ya kuusoma na kujiridhisha kama umefuata misingi yote ya kisayansi na matokeo yaliyofikiwa hayana makando kando. Na ikibidi nawe ufanye utafiti wako uone kama utafikia mahitimisho tofauti. Vinginevyo ni kubisha tu kama ilivyo kawaida yetu.Mmmh!hakuna ukweli wowote hapo km vp atuambie huo utafiti ulifanyika na nani na kwa watu gani
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] mkuu umesema kweli kabisaSasa tatizo wanawake wanao ingia kwenye ndoa utamu unakua ushaisha sasa mtu unaanza mapenzi ukiwa na miaka 8 ukifikia miaka 28 unaolewa sasa ukiangalia matiti yote saa 12 Jioni yanaitaji sapoti nyapu ndo ivyo tena ishatanuka to the breaking point sasa kwa nini usitafute mchepuko wenye titi saa sita nyapu bado mpya
wanaume tuna kazi aisehh
Unaweza kufafanua kidogo?Kua mchepuko raha asikuambie mtu.