Utafiti: Wanaochora ‘tattoo’ wana matatizo ya akili

Utafiti: Wanaochora ‘tattoo’ wana matatizo ya akili

Hawa jamaa wa tafiti so ndio walisema maziwa ya mende ni mazuri.
Mara katika watanzania wanne mmoja ni kichaa.
Mara asilimia 97 ya watoto baba zao sio biologicl (yaani wamechapiwa)


Kwahio wanamaanisha messi ni kichaa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tattoo ni Ibada za kishetani unawekwa alama ili kutangaza ufalme wa giza kuna baadhi ya Vijana wanafanya vile kwa kusaka mafanikio kuna mashart yake wanafanikiwa lkn hawa wapuuzi wabongo wengi wanadhani fashion wanakwama sana sababu Ile ni roho yakuzimu na ina madai yake yanahitaji Ibada usipojua utakwama sana!
binafsi mwanamke mwenye hayo matotoo hapana niwahi kumpenda mdada mmoja ni chombo kweli kweli cha kisukuma siku ananipa mzigo asubuhi nakuta tatoo kwenye kiuno juu ya mat#k&
tangu siku hiyo nikafuta namba zake
vijana waache kuiga mambo wasiyo yajua yataharibu maisha yao
 
Back
Top Bottom