Utafiti: Wanachama wengi wa CHADEMA ni watu waliokata tamaa ya maisha

Walio choka ni wale wanao pikiwa pilau ili waende kwa ajili ya njaa zao au ni wale wanao tumia gharama zao binafsi kwenda kusikiliza mustakabali wa maisha yao???
 
Sijafanyia utafiti watu wa vyama vingine vinavyounda ukawa, lakini katika kufanya oral interview na focus group ya baadhi ya wanachama wa CHADEMA, majibu na mitazamo yao inaonesha ni watu waliokata tamaa ya maisha, na wanautumia mfumo wa sasa hasa chama kilichopo madarakani kurusha lawama zao.
Wengi wa wana CHADEMA ndio wanaamini CCM ndio ilisababisha wao kufeli darasa la saba, wao kufeli form four, wao kukosa kodi ya nyumba, wao kukosa angalau kaboda boda, wao kukosa mke/mme mzuri, yani matatizo yao yoote na kushindwa kwao kufanikisha ndoto zao za maisha wanatupia lawama CCM.

Ninaomba msinishambulie kwa maneno makali bali tumieni mda wenu kuhakiki! Kila mkutano wa CHADEMA unapofanyika, kaangalie ni watu gani walioko pale. Sio rahisi kukuta mtu mwenye nyumba yake nzuri, gari yake nzuri, kazi yake au biashara zake zimestawi kuwa yuko CHADEMA.

WITO WANGU KWA SERIKALI YA MAPINDUZI; Ni kuiomba serikali inagalie jinsi ya kulisaidia tabaka la watanzania waliokata tamaa ya kuwa na mafanikio katika maisha, ili waweze kufanikisha baadhi ya ndoto: Hili litafanikiwa kwa kuwawezesha vijana 'waliokata tamaa' jinsi ya kupata mitaji na kuweza kujijengea uchumi endelevu ili angalau kupunguza wimbi la msuguano wa kisiasa linalaoendelea sasa hivi....
Ajira ya boda boda, haiwezi kutosheleza mahitaji ya vijana wa karne hii ya 21!

We chizi sana kaa ukijifariji hii tafti umefanyia chooni au magerezani?,kwanza unajua vity mhim vya kuconsider unapzungumzia tafti?...kwanza mtafti yyte makini hukwepa sana "biasness" bt ww kwa hilo.moja tu naona we mwenyewe unaonekana mvuta bangi tu na tafti zako za kisenge unless useme umelotumia neno tafti kimakosa au hujui kuwa 7kitakiwa useme huo ni upeo wako wa kufkri ussibgzie taaluma watu saw we chizi ulie na kichwa kidogo kama chakuku!
 
Pengine uko sahihi.....matajiri waliopata pesa kwa biashara ya unga wataichukia vipi CCM wakati imewapa mianya kibao ya kutimiza malengo yao? Wahitimu wanaopata ajira kimagumashi kisa baba na ndugu zao ni vigogo watatamani vipi CCM itoke madarakani wakati mfumo dhalimu wa chama hiki ndo 'umewatoa'? Hata hawa wafanyabiashara na matajiri wanaofanya biashara 'halali'....biashara zao ni halali kwa kiwango gani? Wanalipa kodi ya mapato au wanatoa tu bakhshishi?? Nchi hii ili upate mafanikio unatakiwa uwe na karoho ka ufisadi kidogo....rushwa kidogo,plus ujangili kwa mbaali....ni wachache wanaopata mafanikio makubwa kwa njia ya haki angalau kwa asilimia tisini. Sisemi hawapo....wapo ila WACHACHE...

Mate nimekukubali,kumbe hata huku kwenye siasa uko vizuri?Mi nikajua ni MMU tu.
 
Nakubaliana na mleta mada kwa kiasi kikubwa, vijana wengi wa Chadema wanaamini Chadema wakitwaa dola kila mmoja atakuwa na nyumba yake na gari lake la kifahari bila kufanya kazi.
 
Sijafanyia utafiti watu wa vyama vingine vinavyounda ukawa, lakini katika kufanya oral interview na focus group ya baadhi ya wanachama wa CHADEMA, majibu na mitazamo yao inaonesha ni watu waliokata tamaa ya maisha, na wanautumia mfumo wa sasa hasa chama kilichopo madarakani kurusha lawama zao.
Wengi wa wana CHADEMA ndio wanaamini CCM ndio ilisababisha wao kufeli darasa la saba, wao kufeli form four, wao kukosa kodi ya nyumba, wao kukosa angalau kaboda boda, wao kukosa mke/mme mzuri, yani matatizo yao yoote na kushindwa kwao kufanikisha ndoto zao za maisha wanatupia lawama CCM.

Ninaomba msinishambulie kwa maneno makali bali tumieni mda wenu kuhakiki! Kila mkutano wa CHADEMA unapofanyika, kaangalie ni watu gani walioko pale. Sio rahisi kukuta mtu mwenye nyumba yake nzuri, gari yake nzuri, kazi yake au biashara zake zimestawi kuwa yuko CHADEMA.

WITO WANGU KWA SERIKALI YA MAPINDUZI; Ni kuiomba serikali inagalie jinsi ya kulisaidia tabaka la watanzania waliokata tamaa ya kuwa na mafanikio katika maisha, ili waweze kufanikisha baadhi ya ndoto: Hili litafanikiwa kwa kuwawezesha vijana 'waliokata tamaa' jinsi ya kupata mitaji na kuweza kujijengea uchumi endelevu ili angalau kupunguza wimbi la msuguano wa kisiasa linalaoendelea sasa hivi....
Ajira ya boda boda, haiwezi kutosheleza mahitaji ya vijana wa karne hii ya 21!

Je umeuliza ni kwa nini wamekata tamaa? hapo sasa nataka niamini utafiti wako umebaini ukweli mamekata tamaa. Je ni kwanini wamekata tamaa na maisha?
 
Kwann ulilenga kufanyia wanachadema? Tupe Definition ya kukata tamaa uliyotumia mana kila mtu At One point in a time lazima akatae tamaa regardless of economic status
 
Je umeuliza ni kwa nini wamekata tamaa? hapo sasa nataka niamini utafiti wako umebaini ukweli mamekata tamaa. Je ni kwanini wamekata tamaa na maisha?

Kwa sababu wameshindwa kutimiza sehemu kubwa ya ndoto zao, na wengine ndio umri nao unawatupa mkono...
 
Nape, (ukitilia maanani kuwa mikutano yenu haipati watu bila ya kukodi fuso za kusomba watu na kuwapikia wali maharage) huyu mtu alieandika hiki alichoandika hapa hajakutukaneni wewe, Kinana, Mangula na Kikwete kweli?
 
522080_510251082372224_138549568_n.jpg

zikojilee au uzishawazishe, kama sio kizinyea. naichukia ccm kwa moyo wangu wote matendo na vitendo
 
Huu ni mtazamo, finyu. Mikutano yote ya vyama vya siasa Tanzania inatumia ujinga wa Watanzania kwa mtaji wao, ndiyo maaana kuwa na idadi kubwa ya washiriki katika mkutano unadhani ni ushindi. Udani wake ni kuwa wengi wanafuata mkopo wala hawajui itikadi za vyama husika. Wengine wanafuata umbeya ili wapate ya kuongea mtaani, maana Tanzania siku hizi ni taifa la waongeaji hovyo kutoka juu mpaka chini. Hata hivyo, ipo siku giza litaisha na mwanga kuja ndipo utaona madhara ya wanyonge kuendelea kutumika kama mtaji. Tuliangalie hili la wingi kwenye mikutano ya kisiasa kama bomu, vijana wengi wapo mtaani na degree zao hawajui la kufanya maana hakuna ajira na hawakuandaliwa kujiajiri wenyewe. Matokeo yake ndiyo haya mikuatano inajaa watu wenye njaa na uwezo finyu wa kufikiri. Utakuta msomi ana msikiliza mjinga kiasa tu ametumia kaujanja na kusema unajua kwa nini hauna ajira ni CCM wakati yeye mwenyewe baaada ya mkutano hajui ataishije kesho.
 
Hata mimi naona wenye mafanikio tu ndio wapo ccm kama jangili ki elephant,chenge mzee wa vijisenti,Rosti tamu,Na wale wahuni wote wanaopiga dili ila historia ina onyesha wanyonge mwisho wa mchezo hushinda vita so najivunia kuwa mwana ukawa kuunganisha nguvu kuwaondoa wakoloni weusi ccm!
 
Huu ni mtazamo, finyu. Mikutano yote ya vyama vya siasa Tanzania inatumia ujinga wa Watanzania kwa mtaji wao, ndiyo maaana kuwa na idadi kubwa ya washiriki katika mkutano unadhani ni ushindi. Udani wake ni kuwa wengi wanafuata mkopo wala hawajui itikadi za vyama husika. Wengine wanafuata umbeya ili wapate ya kuongea mtaani, maana Tanzania siku hizi ni taifa la waongeaji hovyo kutoka juu mpaka chini. Hata hivyo, ipo siku giza litaisha na mwanga kuja ndipo utaona madhara ya wanyonge kuendelea kutumika kama mtaji. Tuliangalie hili la wingi kwenye mikutano ya kisiasa kama bomu, vijana wengi wapo mtaani na degree zao hawajui la kufanya maana hakuna ajira na hawakuandaliwa kujiajiri wenyewe. Matokeo yake ndiyo haya mikuatano inajaa watu wenye njaa na uwezo finyu wa kufikiri. Utakuta msomi ana msikiliza mjinga kiasa tu ametumia kaujanja na kusema unajua kwa nini hauna ajira ni CCM wakati yeye mwenyewe baaada ya mkutano hajui ataishije kesho.

Kwani uwongo? Nani anatakiwa ahakikishe vijana wa nchi husika wanapata ajira? Ni chama tawala japo hamtaki kuambiwa ukweli na ukiona mikutano ya vyama vya upinzani inapata MASHIKO basi msijifariji bali mjiandae kusepeshwa tu,ukweli ni kwamba CCm ni tatizo hata mtumie maneno gani kuwaaminisha watanzania ni wale wasio na upeo wa kufikiri tu ndo watawaunga mkono otherwise CCM IS A PROBLEM.
 
Back
Top Bottom