Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,608
- 9,174
Heri ya mwaka mpya.Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Hahaha...Babuu!!!Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Hahhaaah babuuuKama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Heri ya mwaka mpya mtoto mwenzangu.Hahhaaah babuuu
Babu Asprin umenichekesha sana lakini pia ulipotaja Mtakuja akili yangu ikaenda mbio kwa ile familia ya kufikirika ya Mr. and Mrs. Daud. Kwa hakika ile familia ilinihamasisha sana kusoma ikiwa pamoja na kuipenda lugha ya malkia. Japo sikuijua.Kama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Sema HakyaMungu...Nakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
We bhana wewe... mimi sizitaki mbichi hizi. Hebu tumbo niache nimbakizie Manenge...Babu Asprin umenichekesha sana lakini pia ulipotaja Mtakuja akili yangu ikaenda mbio kwa ile familia ya kufikirika ya Mr. and Mrs. Daud. Kwa hakika ile familia ilinihamasisha sana kusoma ikiwa pamoja na kuipenda lugha ya malkia. Japo sikuijua.
Babu Asprin, mi ni wa wakati wa 'original' "ninaye ndege mzuri mrembo wa kupendeza" (naskia siku hizi kuna remix kama kweli) "wengine mnawakanyaga", " heri mimi sijasema" tetemeko la ardhi, mkisi mmoja kavuka ziwa nyasa, heka heka mtoni. Enzi ambayo wanafunzi tulikuwa tukipenda elimu japo elimu haikutupenda. Tofauti na sasa hivi, elimu inawapenda wanafunzi lakini wenyewe hawaopendi elimu. Si zamani sana lakini kiasi kuitwa babu now.
Huu utafiti pamoja na mapungufu yake kadhaa, lakini naweza kusimama na kuutetea na hata kuthibitishwa na members.
Na kwako pia mzee mwenzangu. Jinsi ulivoamua kunitenga, mi nimemuachia Mungu.Heri ya mwaka mpya.
Wasalimie wajukuu wako wote
We kaAvatar kako kwa mujibu wa mtafiti wetu, ukijakuwa mkubwa utairithi mikoba ya eidha Sheikh Yahya Hussein au Sheikh Kipoozeo (Mzee wa Mizigo)... Chaguo ni lako, kupanga ni kuchagua.Hahaha...Babuu!!!
Muambikiza majipu ndio analeta ugumu wote huu, next weekend ntakutafutaNa kwako pia mzee mwenzangu. Jinsi ulivoamua kunitenga, mi nimemuachia Mungu.
Hasa Sheikh Kipoozeo.We kaAvatar kako kwa mujibu wa mtafiti wetu, ukijakuwa mkubwa utairithi mikoba ya eidha Sheikh Yahya Hussein au Sheikh Kipoozeo (Mzee wa Mizigo)... Chaguo ni lako, kupanga ni kuchagua.
Wewe kwa mujibu wa mtafiti wetu utakuwa mtoto wa kambo wa Muhammad Alli.Sasa kwa mfano hii yangu inanielezeaje mimi?
Kwamba mimi ni katoto kahendsamu na katanashati au...?
Hizi tafiti za JF bana...huwa zinachekesha sana wakati mwingine.