Utafiti unaonyesha serikali ya CCM chini ya rais Samia imesababisha ugumu wa maisha. Wananchi wamegeuza chapati na maarage ndio chakula kikuu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,773
Reaction score
5,930
Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili.

Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio sera kuu kuikoa CCM ipendwe.

Wabeba Zege, wakulima wa Pamba? walima vitunguu
huko vijijini?

Leo hii kila kona iwe mjini hata vijijini watu wanashinddia Chapati na maharage kuanzia asubuhi. Maana bei ya nyama imefika sh 12000 na nchele ths 3500 nani atamudu?

CCM imefeli vibaya sana chini ya rais Samia.
 
Ikulu panahitaji mtu special sana—a real leader. Otherwise, mtu ambaye hata chupi (tena za kifahari) ananunuliwa na taxpayers hawezi kujua maisha halisi anayoishi Mtanzania wa kawaida!
 
Chapati na Maharage ni anasa sio chakula cha masikini
 
lkn chapati siyo chakula cha kimaskini, hivyo kama ni kweli wanatazagiza wengi wanaweza kumudu kula chapati badala ya ugali basi wamepanda daraja na siyo kushuka, chapati ni aghali klk ugali nafikiri ...
 
Hicho chakula kinaitwa pasi ndefu, yaani mtu akila asabuhi ni mpaka jioni, mchana hali
 
vipi kuhusu dagaa?
Masikini hana hela ya kula huu msosi

1772746247803.png
 
Back
Top Bottom