Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,824
- 113,405
Tafiti zinaonyesha wenza wanaoweka bayana mapato yao huwa na maisha ya furaha saana na kudumu kwenye ndoa.
Mawazo binafsi.
Utakuta hiyo meseji kaiandika mtoto asiyehata na mchumba anayeishi kwa baba na mama wanaoambizana wanachoingiza kwa siku. Teknolojia imewarahisishia hata watoto wasiojua ndoa ni nini kuiongelea mitandaoni huku wanandoa wakikaa majukwaani kama huku wakiamini mawazo ya watoto wao.
Lakini Familia ni muunganiko wa mume na mkeFamilia haitakuwa na hela kwasababu laki tano ni ya mke na laki mbili ni ya mume
Kumbe sawa mkuu [emoji16] nlikua sijuiLaki moja... Nyengine unaficha mwanamke hatakiwi kujua ulicho nacho
Unaambiwa hela ya familia ni 100k hyo 100k nyingn ni yake ya kusuka [emoji38]hapo ni 200k
Maana hela ya mwanamke haionekanagi inapokwenda na hapo atakupiga mzinga kwenye hiyo 200K
Za wao sio jumuishi
Kwanini?familia inakuwa na laki mbili
Si umpige kipara mbaki na mzigo wote?Unaambiwa hela ya familia ni 100k hyo 100k nyingn ni yake ya kusuka [emoji38]
mume si ndo kichwa cha familia bwana mkuuIvi kwanini au familia n mwanaume peke yake?Kwanini?
KUNA WAKATI NLIKUA NAFANYA KAZI MKOA FULANI,Unaambiwa hela ya familia ni 100k hyo 100k nyingn ni yake ya kusuka [emoji38]
Si umpige kipara mbaki na mzigo wote?
Sawa na mke ndo mnyonyaji wa familia ?mume si ndo kichwa cha familia bwana mkuu
Wengi wanafanya hvyo wengine hadi wanajenga sehem nyingn na familia haijuiKUNA WAKATI NLIKUA NAFANYA KAZI MKOA FULANI,
1. HUYU MAMA ALIKUA ANAFICHA SALARY SLIPS OFISINI MAANA YAKE MUMEWE HAJUI KIPATO CHAKE.
2. HUYU MAMA AKIPATA MSHAHARA ANAPELEKA NYUMBA ILA FEDHA YOYOTE NJE YA MSHAHARA HAIENDI HOME
Yako +yake=700k ndio wamaanisha hivi?700k
Kwa familia yangu mm...kwenu nyie labda mnijuze hapa...
Jamani joanahFamilia haitakuwa na hela kwasababu laki tano ni ya mke na laki mbili ni ya mume
NdioooYako +yake=700k ndio wamaanisha hivi?