Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,537
- 27,073
Wakuu!
Nimekuwa na tabia mbaya sijui, natongoza sana wake za watu. Halafu wala siwatafuni, basi ilimradi tu kuwachora na kisha kuwaacha wakihangaika kuniwinda.
Huruma ni kwa waume zao waliokula viapo uchwara, mnishukuru tu nimekua vema na naelewa thamani ya ndoa. Kwa matokeo haya ya awali huko kwenye ndoa hakuna kitu, yaani wake zenu beki hazikabi kabisaaa!
Hitimisho: Mke wako tu ndiye mwaminifu, sio kama hao wa wengine wanaokukubali wewe tena kirahisi tu.