Utafiti: Tongoza wake za watu, wanavyokubali jiulize kwa mkeo hali ikoje?

Usichokijua hata haya maisha tunayoishi pia ni simulizi

Kila simulizi ina mwisho wake

Angalia njia zako isije ikawa mwisho wa simulizi ya maisha yako.......................itaendelea
Nasubiri iendelee, nitarudi.
 
Uaminifu ulimshinda Abraham utakuwa wewe!!
Ibrahimu aliponzwa na mkewe Sarai aliyeona kama watazeeka na kufa bila ya kupata mtoto(maana walichelewa kupata mtoto ktk ndoa yao). Ibrahimu alikuwa mwaminifu sana, sauti ya kike ikamponza.

Uaminifu ni tunda la Roho (WAGALATIA 5:22). Kwa mtu yeyote aliyeokoka akajazwa na Roho Mtakatifu uaminifu kwake ni ishu ndogo sana. Na sio uaminifu tu, bali mtu aliyemwamini Yesu atakuwa na UPENDO, FURAHA, AMANI, UVUMILIVU, UTU WEMA, FADHILI, KIASI, UPOLE.

UKITAKA UWE NA HIZO TABIA TAJWA HAPO JUU, NJOO KWA YESU! Milango iko wazi.

JESUS IS LORD!
 
Ibrahimu aliponzwa na mkewe Sarai aliyeona kama watazeeka na kufa bila ya kupata mtoto(maana walichelewa kupata mtoto ktk ndoa yao). Ibrahimu alikuwa mwaminifu sana, sauti ya kike ikamponza.
Kwa kuzingatia mfano huo, ndio maana na hapa tunaongelea wake za watu (wanawake).... sauti za kike huponza big time.
 
Back
Top Bottom