Yaani nawe unakuja na dhana? Huyo daktari wako kakwambia kuwa pweza analeta BP?Naweza kumuunga mkono huyu Daktari...kwa uelewa wangu mdogo kuna baadhi ya sea foods ni hatari sana kwa afya kwa kuwa zina level ya juu ya cholesterol...nadhani pweza wanaweza kuwa ni moja ya hilo kundi...
Sasa unaongeza nguvu huku unakaribisha shinikizo la damu...work done is equal to zero....
Mfano wewe mdau unaesema supu ya ng'ome na mbuzi...hapo unapalilia BP at early 40s...uanze kuwa forced kutumia dawa za BP zinazo affect performance yako ndio utajua kama hivyo vyakula vinaongeza au kupunguza nguvu...
Haya ndo mambo ambayo wasomi wetu wanashindwa kuyaelewa. Mtu anakurupuka kusema bila ya kueleza hao pweza na karanga zina faida gani mwilini.
Yaani nawe unakuja na dhana? Huyo daktari wako kakwambia kuwa pweza analeta BP?
Yaani nawe unakuja na dhana? Huyo daktari wako kakwambia kuwa pweza analeta BP?
sasa tule nn ili tuweze kusimamia kucha!!!!?
Ulaji wa supu ya pweza,karanga mbichi,mihogo mibichi na mbata kwa madai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na vyakula hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Dk.Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake kwenye semina ya wahariri iliyofanyika Morogoro iliyojadili nafasi ya mwanaume katika kuleta mabadailiko katika jamii juu ya afya ya uzazi na jinsia.
Alisema katika miji mingi kwa sasa supu ya pweza huuzwa ambapo wauzaji wamekua wakinadi kama msaada wa kurejesha heshima ndani ya jamii.
Alisema ufanyaji mapenzi unaathirika na vitu vingi na jamii lazima kuangalia ukweli huo ili kuwa na watu wanaojiamini katika mapenzi na wale ambao wana matatizo kupata ushauri wa kidaktari
Source HABARI LEO
Maziwa njugu mbichi tende kisha blenda, kinywa majibu in tree days, halafu uje useme uwongo kama huyo doctor wa kuremu vitabu.
Pweza ni kiboko kama utamuuliza huyo doctor kashawahi kumla atakuwambia ana alagek, sisi watu wa pwani tuulizeni, seafood ndio Chakula chetu hasa zanzibar, pemba Huna kizazi watoto tisa, cheza mchezo na seafoods
Hahahaha nimecheka apo huna kuzazi watoto 9 wapemba kwa kuzaa maashallah
sasa tule nn ili tuweze kusimamia kucha!!!!?