Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

utafiti huo amefanya nani?mbona hauna logic?aliyeandika huo utafiti mbona ni kama hajui falsafa hata kidogo.sihitaji kusoma mara 2 ukoma huo usio na logic.
 
Black is unique, wajinga tu ndiyo hawaelewi kuwa kitu cheusi ni cha thamani kuliko cheupe! Wajanja wanajua ndiyo maana hawalali ili kumdidimiza mweusi. Utafiti huu in rubbish make ni dust bin
 
Huu mtandao unaoutumia kueleza mawazo yako ni kazi ya mtu mweusi?

Origini ya kusoma na kuandika ni kazi ya mtu mweusi?
 
Kwa kipimo gani?
Kuna baadhi ya vitu hufanywa na sisi watu weusi kwakweli hata kama nami ni mweusi vinatufanya tu dharaulike. Embu jaribu kufikiria kidogo tu
Msomi wetu kiwango cha Che.nge, na mikataba aliyotuingiza akishirikiana na hao wazungu?? U najivunia nini uonapo watu wapo tayari kukataa mradi wa kugeuza taka kuwa mbolea kisa tu anaeleta kiwanda ni chama tofauti?? Au Kiongozi mkuu anapotetea wezi (IPITLeo) walioiba hela za wanae (Wananchi) au aliyewakabidhi wazungu Gas yetu huko Kusini? ?? Aliyewauzia Wazungu NBC kwa bei ya kutupa au Aliyewauzia rafiki zake Kiwira na aliyenunua MV Dar je au alieuza nyumba za serikali kisha akawa anawapangishia waliotakiwa kuishi katika nyumba hizo kwa gharama kubwa hotelini???Utashindwaje kushangaa aliyewapiga marufuku wale wagunduzi au walitengeneza helicopter Arusha na Mbeya na ziliruka? ? Juzi nimesikia dogo mmoja huko Ifakara kagundua Virus anayeweza kutafuna HIV lakini naambiwa hakuna anayemshika mkono wala kumsaidia as ogee japo apate hati miliki tu na ni fursa kwa nchi lkn wapi??? Watu wanabuni bunduki na kuzitengeza lkn hao wa naishia jela lakini mnanunua brand za watu kwa bilions of money na kuwatajirisha wazungu?? kumbuka haya yote hufanywa na viongozi. KATIKA KUNDI LOLOTE THE BEST HUFANYWA KIONGOZI, WANYAMA AU WADUDU KIONGOZI LAZIMA AWE ZAIDI YAO. sasa kama ndivyo mpaka kwa wa afrika basi waliofanya haya kwa kuwa ni viongozi wetu na stadi ikifanywa kwa hawa ambao ndio the best amongst us, unataka matokeo gani?? Huenda tumezidiwa IQ na wadudu wanaowachagua viongozi kwa kuwa wanaweza kuwaongoza sisi tinachagua kwa sababu ????????
 
Huu mtandao unaoutumia kueleza mawazo yako ni kazi ya mtu mweusi?

Origini ya kusoma na kuandika ni kazi ya mtu mweusi?
Salary Slip kuna vitu vingi sana hao wazungu wamevichukua Afrika ili waboreshe hivyo unavyoviona. Mfano, hizi namba sifuri hadi tisa unaijua asili yake? Ushamsikia mtu anaitwa Leonardo Fibonacci?
Achana na propaganda za akina Trump kuwa weusi are good for nothing.
 
Kuna baadhi ya vitu hufanywa na sisi watu weusi kwakweli hata kama nami ni mweusi vinatufanya tu dharaulike. Embu jaribu kufikiria kidogo tu
Msomi wetu kiwango cha Che.nge, na mikataba aliyotuingiza akishirikiana na hao wazungu?? U najivunia nini uonapo watu wapo tayari kukataa mradi wa kugeuza taka kuwa mbolea kisa tu anaeleta kiwanda ni chama tofauti?? Au Kiongozi mkuu anapotetea wezi (IPITLeo) walioiba hela za wanae (Wananchi) au aliyewakabidhi wazungu Gas yetu huko Kusini? ?? Aliyewauzia Wazungu NBC kwa bei ya kutupa au Aliyewauzia rafiki zake Kiwira na aliyenunua MV Dar je au alieuza nyumba za serikali kisha akawa anawapangishia waliotakiwa kuishi katika nyumba hizo kwa gharama kubwa hotelini???Utashindwaje kushangaa aliyewapiga marufuku wale wagunduzi au walitengeneza helicopter Arusha na Mbeya na ziliruka? ? Juzi nimesikia dogo mmoja huko Ifakara kagundua Virus anayeweza kutafuna HIV lakini naambiwa hakuna anayemshika mkono wala kumsaidia as ogee japo apate hati miliki tu na ni fursa kwa nchi lkn wapi??? Watu wanabuni bunduki na kuzitengeza lkn hao wa naishia jela lakini mnanunua brand za watu kwa bilions of money na kuwatajirisha wazungu?? kumbuka haya yote hufanywa na viongozi. KATIKA KUNDI LOLOTE THE BEST HUFANYWA KIONGOZI, WANYAMA AU WADUDU KIONGOZI LAZIMA AWE ZAIDI YAO. sasa kama ndivyo mpaka kwa wa afrika basi waliofanya haya kwa kuwa ni viongozi wetu na stadi ikifanywa kwa hawa ambao ndio the best amongst us, unataka matokeo gani?? Huenda tumezidiwa IQ na wadudu wanaowachagua viongozi kwa kuwa wanaweza kuwaongoza sisi tinachagua kwa sababu ????????
Mkuu hayo mambo yote uliyosema yana sababu zake, muhimu zaidi ni kwamba kwenye kupimana hiyo IQ kumejaa urasimu mtupu
 
Labda tuseme kweli kunaurasimu kama unavyosema, kwanini urasimu uwepo kwa blacks tu?? au matendo yetu si yangeonesha the opposite?? But kwa nini yanarandana na matendo yetu?? Mjinga hapendi kuitwa mjinga, mpumbavu nae the same, na hujitahidi amshushe mwenye akili kwenye kundi lake na hii ndio hutokea Amongst blacks. kwanza hatukubali kama kweli tunamapungufu na ikitokea mmoja wetu an aoneshe Mwangaza tutamshusha tu, sisi habari njema yeyote itokekee kwa mzungu ndio maana utasikia kama mzungu, elewa hicho kizuri lkn ukisikia Uswahili au Local sana elewa hicho kipo ovyo. Nimekupa mfano wa aliyesaini mikataba pamoja na usomi wake, au alienunua MV Dar, au Rais alie si mama upande wa IPTL wakati wa Escrow saga hawa IQ yao ikoje?? Je walipataje kuwa viongozi wa wenye IQ kubwa?? Ivi wewe u naanagalia japo vipande vya bunge letu tukufu??? U najivunia nini na IQ za wawakilishi wetu ambao ni simply ndio the best among us?? Ndio maana wanatuwakilisha, kama hujaona tatizo kwao hasa hawa majority basi hakika utafiti wa wazungu upo sahihi. ila mimi binafsi IQ yangu ipo juu kiasi kuliko hao wengi sihitaji kipimo cha kizungu kujua maana najiona nipo tofauti sana na wengi wazee wa ndio mzee
 
Mkuu uliyosema watanzania viongoz wamefanya yanaweza kufanywa na kiongoz wa nchi yoyote ile sio tu watanzania. Kiongoz msaliti anaweza toka nchi yoyote ile ndo maana kuna puppet leaders dunia nzima. Kikubwa ni kujifunza na huko tumeshatoka coz sahvi tunaye rais mzalendo. Hata nchi zilizoendlea zimepitia hio hatua. Ishu sio IQ ni weledi tu.
 
Mazingira ya Africa yalitaka ujamaa zaidi ya individualism.

Sasa mazingira yanabadilika, Waafrika nao wanabadilika.

Kwa nini ubinafsi umetuingia sasa hivi Waafrika wengine kuliko hata wazungu? Kwa sababu tumekuwa exposed kwenye maisha ya wazungu na tumeyaacha yetu.

Kwa sababu maisha ya wazungu ya kutaka maendeleo ya kiuchumi at any cost ndiyo yanayotawala dunia hii.

Kwa sababu sasa hivi hata watu wa vijijini wana smartphone na usishangae wakikupa stories za Lil Wayne kafanya nini kabla mimi mtu wa New York sijajua.

Kwa sasa ukiongelea uzuri wa kanuni za maisha halisi ya Kiafrika zinazoweka kipaumbele kwenye kuishi kijamaa na wenzako unaonekana umefulia. Utaambiwa Nyerere alishajaribu akashindwa.

Kwa sasa hata ukipata nafasi ya kuiba halafu ukasema usiwe mbinafsi, uwe muadilifu, hao unaokataa kuwaibia watakucheka kwa ujinga wako.

Kuna Mzee mmoja aliwahi kuongoza moja ya mashirika makubwa kabisa ya umma nchini. Nikisema makubwa namaanisha yale ambayo serikali inayategemea kabisa. Mzee alifanya kazi kwa uadilifu, hajaiba wala kujilimbikizia mali. Kajenga vijumba vyake viwili tu mjini kastaafu. Hakuwa na biashara ya maana wala nini kwa sababu alikuwa ni wale watu wa u Nyerere. Baada ya kustaafu ikawa mara siku gari lake linamletea shida. Mzee kakulia shamba kwa hiyo pamoja na kuwa bosi miaka mingi, kupanda daladala kwake ikawa si jambo la hatari.

Akajichanganya akapanda daladala.

Kuna watu wakamuona. Ikawa bonge la story mjini. Mzee kafulia anapanda daladala. Wakati yule kamanda mjamaa na kitendo kile si hatari sana kwake.

Yani watu walikuwa wanataka sana awaibie awe anaendesha Benzi kubwa ndiyo wamuheshimu Mzee ana hela yule.
Mazingira yanabadilika na Waafrika wanabadilika? mbona kama hawbadiliki na kama wanabadilika kwa spidi ndogo sana, African Americans wameishi kwenye mazingira ya wazungu miaka zaidi ya 200 sasa, je wapo kama wazungu? simaanishi physically, ila ukiangalia wanavyoishi African Americans utagundua waafrika wakipewa maendeleo wataishije
 
Wewe muafrika, nikikwambia kwamba jua litapatwa August 21 2017 na likitokea kweli utashangaa kama walivyoshangaa Waafrika wa 1800's?

African Americans unaongelea wepi? Unaelewa kwamba hao African Americans wote hawafanani kuna kina Vernon Jordan na Henry Jr? Unajua kuhusu Tulsa Black Wall St? Unajua kwamba Marekani kuna institutional racism iliyokuwa designed kuwagandamiza watu weusi kwa miaka mingi sana kutoka utumwa mpaka utumwa mamboleo?

Unapoandika "utagundua Waafrika wakipewa maendeleo wataishije" una maana gani? Maendeleo ni nini?

Na kwa nini unaongelea habari za "kupewa maendeleo" ? badala ya "kupata maendeleo' ? Wapewe maendeleo kwani wao watoto au vilema?
 
Back
Top Bottom