Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

HAMNA ANAYEWEZA KUZUIA CHAGUO LA UMMA, lowassa 2015 , JK atake au asitake ni Lowassa kwa tiketi ya ccm 2015

Hatutaki rais wa kulalamika, kulialia

TUNATAKA MCHAPA KAZI, anayeogopwa na maofisaa waandamizi serikali, tunataka mtu wa kuogopwa na WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, rais asiyepoteza muda ovyo

Mtu wa kutoa maamuzi magumu

Yaani jinsi mnavyoendelea kumpa chapuo Lowasa mnamuumiza sana NAPE NAUYE kwani anawaza iwapo ni kweli Lowasa atakuwa rais itabidi akimbie nchi je ataishi wapi? na kwa gharama gani?
 
Hizi tafiti na taasisi kanjanja,alafu Gazeti Mali ya lowasa mwenyewe... Hii danganya Lumumba na sio Kila mtu amelala.
Ebu hizi taasisi zije ziwahoji wananchi live nchini kwa uwazi na asilimia kubwa ya wananchi wafikiwe.alafu. ndio inakuwa ni maoni ya wananchi na sio Huu utapeli.

Tueleze ni asilimia ngapi ya wananchi wamefikiwa na hiyo taasisi yako lini na wapi ziko ofisi zao nchini kote.
Sio kutuletea tafiti za team lowasa hapa.
Nchi hii ina watu wengi wa kuuweza urais, na sio lazima lowasa ambae katopea chafu ya ufisadi
 
We kweli unachekesha tokea lini gazeti la Mtanzania kimekuwa mali ya Lowassa.....acha kupotosha mkuu
 
HAMNA ANAYEWEZA KUZUIA CHAGUO LA UMMA, lowassa 2015 , JK atake au asitake ni Lowassa kwa tiketi ya ccm 2015

Hatutaki rais wa kulalamika, kulialia

TUNATAKA MCHAPA KAZI, anayeogopwa na maofisaa waandamizi serikali, tunataka mtu wa kuogopwa na WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, rais asiyepoteza muda ovyo

Mtu wa kutoa maamuzi magumu

Na ana roho ngumu kama Israel mto roho za watu.
 
Una kubali Manzania ni la Rostam Aziz. Kama jibu ni ndiyo, unaujua uhusiano uliyopo kati ya EL na RA? Kama hujui uliza, usikanushe
We kweli unachekesha tokea lini gazeti la Mtanzania kimekuwa mali ya Lowassa.....acha kupotosha mkuu
 
Masisiemu yakimpitsha lowasa nawasnitch ukawa kwa kura ya rais lakin akipita yule mzembe mzembe nadhan watamilik anguko kuu lisilosimulika
 
Wakuu salama......

Katika ripoti iliyotoka jana kuhusu utafiti uliofanywa na Economists Intelligence Unit ya nchini Uingereza, ndugu Edward Lowassa kaongoza tena katika utafiti huo. Sehemu ya ripoti hiyo inaeleza ya kwamba Lowassa ndiye mwanasiasa anayekubalika zaidi ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwania urais 2015.

Economist Intelligence Unit ni moja ya taasisi/kitengo bora duniani katika maswala ya kiitafiti kwenye nyanja mbali mbali likiwemo maswala ya uchaguzi.

Tarehe 26/11/2007, kitengo hiki kilitoa ripoti ya utafiti wao kuhusu uchaguzi wa Marekani ya kwamba Obama ataibuka mshindi katika uchaguzi wa 2008. Matokeo nafkiri tunayajua....

Tarehe 14/10/2012, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Ghana, ya kwamba John Mahama ataongoza katika uchaguzi huo na ndiye alikuwa chaguo la wananchi. Matokeo wote tunayo....

Tarehe 24/10/2014, kitengo hiki hiki kilitoa ripoti kuhusu uchaguzi wa nchini Brazil. Katika ripoti hiyo mgombea Dilma Rouseff aliibuka mshindi kama kitengo hicho kilivyotoa ripoti yake ya kiutafiti..

Jana tarehe 20/12/2014, kitengo hicho kimetoa ripoti ya utafiti kuhusu uchaguzi wa mwakani hapa nchini. Na kumpa Lowassa ushindi mkubwa sana...

Mytake: chonde chonde tusithubutu hata kidogo kutupilia mbali maoni ya wananchi. Uchaguzi wa 2002 nchini Kenya, chama cha KANU kilipuuza maoni ya wananchi na hatimaye matokeo leo hii tunayo vichwani mwetu. Sauti ya wananchi ni kubwa sana ingawa unaweza usiione mpaka pale utakapo pata pigo takatifu.

Huu ni utafiti wa tatu mfululizo unaowagusa wananchi. Ni wito kwa CCM kusoma alama za nyakati na kusikia sauti za wananchi. Kura za maoni ni sauti za wananchi.

Source: magazeti ya leo (Mtanzania)..

Asante

Ocampo four
Kiongozi wa kutuongoza tunamfahamu wala hatuhitaji unajimu wa hizo taasisi za kitapeli na wala hatuko tayari kurubuniwa kama ilivyokuwa kwa JK viongozi wa dini walitulaghai kuwa huyo ni chaguo la Mungu kumbe usanii mtupu.
 
Jamani huo utafiti ni zidi ya ukoo wa wana ccm na siyo zidi ya watanzania walio wengi.
 
Alafu teamEL humu wapumbaffu sana, mko kama watatu hivi ila kila mmoja wenu ana Id tano au saba kisha mnacomment mlichopost wenyewe, kweli TeamLowassa nimeamini ni mabumunda.

Unavyoona Lowassa wanaongoza kwenye tafiti mbalimbali ndiyo alivyo na social network kubwa! Wewe tukana tu mabumunda sisi hatuna muda wakujibizana na watu waliokata tamaa! Vita siyo matusi ni mapambano kwenye uwanja wa vita. Hapa angalia tu usije ukadondoka na pressure, maana ndiyo kazi imeanza mwezi Wa tano siyo mbali sana tunakaribia mtoni, mto tutauvuka Kwa msaada Wa Mungu, haijalishi kina na kasi ya maji katika mto ule!
 
Yaani jinsi mnavyoendelea kumpa chapuo Lowasa mnamuumiza sana NAPE NAUYE kwani anawaza iwapo ni kweli Lowasa atakuwa rais itabidi akimbie nchi je ataishi wapi? na kwa gharama gani?

Lowassa hajatangaza watu wahame nchi akipata ukuu wa nchi. Kuna waliotangaza hivyo ila Bahati mbaya Sana uwezo wao wakuongoza ni mdogo na hata hivyo hawana mvuto!
 
Atakuwa rais nyumbani kwenu kama kwel wabongo akili ipo kwel!? Yaani richimond irud tena?

Wewe ndio kilaza. Richmond ipi au hujui ndio inaitwa symbion na obama alivyokuja alikwwnda kuizindua. Ingekuwa mibovu angeenda? kwa taarifa yako ile mitambo ni ya kikwete na Rostam. Lowassa walimwangushia jumba bivu coz ndie alikuwa waziri mkuu. Hujiulizi kwanini yale maazimio ya bunge baada ya kujiuzulu lowassa yaliishia pale pale? Kwanini wasimkate kama kweli ni muusika.
 
we utakua shoga bila shaka! mambo gani unaleta hapa hayoo! eti shika mooo mume wangu, mbona humwambii hongera kwa mipesa ya rich mondi ambayo bado munakula nae mumeo!!!
hovyo sana ww
mambo dada unaendeleaje?
naomba umwambie Alice anitafte nilipoteza simu
au kama una namba yake nisaidie......thanx in
advance
 
ngoja lowasa azidi kuchanua ili hao CCM wanaompigia debe goigoi pinda waje waharibu kura za CCM zihamie UKAWA.
 
Daaa! Kweli pesa nyoko. Waweza kumkana hata mzazi wako wewe mleta huu uzi.

Fisadi ni Fisadi tu! Awe wa Richmond,IPTL au wa Escrow.

Nachoshukuru ni kuwa Tanzania kwa sasa inaongozwa na Mungu na naamini hata kama shetani fisadi akiingia Magogoni ataumbuliwa tu Kwa kunyang'anywa nchi kama ilivokuwa u PM wake.

Ifike kipindi tuone aibu kwa mataifa ya nje kuonyesha kuuchukia ufisadi kwa kudiriki kusitisha misaada na hali Watz tupo tunayaona na kuendelea kuwapigia debe warudi tena madarakani. BIG SHAME kwako unayesapoti wezi Kwa kuwa nawe ni mchumia tumbo.

Jifunze kuwa na uzalendo wa nchi yako kwa kukemea wezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom