Wanaobeza tafiti ni wale wanaweka mabandiko humu ya udaku, uzushi, fitina, ya watu, ya matukio na uchochezi. Huitwa watu wenye "simple" na "average minds".
Pamoja na taarifa ya tafiti hiyo, ukweli unabaki kwamva UKAWA ilianzishwa kuwanufaisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka na siyo kwa ajili ya kuipngoza Tanzania kimaendeleo. Ushahidi ni kutokuwepo kikao cha pamoja kujadili matokeo ya uchaguzi, kujipanga upya na/au jinsi kukabiliana na changamoto za Serikali ya Dr Magufuli.
UKAWA wako wapi? Wako mjengoni wakipigania kuoneshwa "live".