Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira
Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...
Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...
Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....